Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

[emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ishi Mbweni mwanamke wako anaishi Boko msikitini na anakumbana na mitongozo zaidi ya mia kwa wiki anajitahidi kupangua, mingine anaiweka kama back-up hasa ile iliyojaa ushawishi siku ukizingua tu au uko mbali nae ana'activate fasta ile mitongozo aliyokuwa anataka kuingia ila akikumbuka uwepo wako,ahadi zako, pete yako ya uchumba, fadhili zako anasita sita kuikubali, sasa ukiwa mbali ni rasmi ana activate kimya kimya akijua ukirudi ataitema kimya kimya matokeo yake anakolea mazima, kama ulikuwa nice guy mwenzio msela, kama wewe uli mtreat kistaarabu mwenzio anampelekesha kimalaya, kama ulikuwa mtu wa bao moja au mbili mwenzio anampakia mkongo akianza kumkunja hamuonei huruma wakati wewe unajifanya mstaarabu unaona huruma kumkunja,kama kiumbo yako size ya kati na uzito mdogo back-up Mungu kamjaalia pingili heavy weight, kama ulikuwa wa kawaida mwenzio handsome, kama ulikuwa unamhonga mwenzio ndio anahongwa ni vile kamteka kwa kipindi kifupi ambacho haupo, kupitia utofauti wenu mwanamke wako anakolea na vile wanawake walivyo na saikolojia nyepesi hawachelewi kubadilika.
Hakuna kumpiga nyoosha mikono juu hapo kuna mjanja kakuzidi ubunifu, pangusa vumbi songa mbele... mahusiano na mwanamke ni kama betting tu,uwe mbali uwe karibu...tena usipokuwa makini utalea mimba sio yako ukijifanya unajua kupenda kupitiliza.

Wareno wanamsemo "Que você perdeu" yaani: "Imekula kwako".
 
Kama ni MTUMISHI WA TAMISEMI basi ufanyiwe tu ila kama sio wa tamisemi pole sana.
Tamusemi ni kichochezi cha watu kusalitiana kutokana ba kuzuia uhamisho bila sababu za msingi.
 
Na huyu aliekueleza love bite inawezeka anamjua mwenye love. Achana naye au Vumilia. Kwani na WEWE huna girlfriend
Kwanini mnakariri kuwa kila mwanaume ana sidechick. Yaani akili zenu za ajabu kweli, mnapenda sana kuproject hisia zenu hatapasipotakiwa. mwanamke mmoja tu ni shughuli kwangu sembuse wawili, hapo ndipo mnapojiharibia sana. Mnakariri maisha mno. Anyways mtakula matunda yenu.
 
Nakusihi usiamshe mambo ya hisia kali za kupigana wala kufanya nini maana nakuhakikishia maumivu ya kipigo yakipona yanarudi kwako na utaweza umia wewe zaidi akiamua kuchukua hatua zaidi. Ukitaka mumuumiza mwanamke, ondoka sepa mwachie kila kitu ila mpotezee mazima futa kila aina ya memory juu yake kabisa na usonge mbele na maisha yako, ni ngumu kwa mwanzoni ila baadae unazoea. Nimefanya hivyo kwa mabinti wawili ambao walifanya huo ujinga, bila hiyana wala kusumbuana unajiondokea, nakwambia watakutafuta mpaka wachoke maana wanawake huitaji closure kwenye mindset yao. Yaani closure ni kama obsessive compulsive disorder kwao maana wanahitaji hiyo closure ilikuflip the coin na kujipa amani kwa kukulaumu wewe. usipompa hilo, atakutafuta hata familia yako afanye hivyo. Just go and live your free life, utaona jinsi gani ukubwa wa mzigo umeutua.
 
Acha makasiriko.. Mwache tu aende zake
 
Huyu sio mwanaume bado,ni kakijana
Kwa hiyo kuwa mwanaume ndo uweze kusamehe usaliti?
Mwanaume wa kweli ni yule anaetoa adhabu kali ili iwe fundisho ..
Yaani anisaliti nimuache tu bila kumpa kash kash yoyote? Baada ya hapo wakanicheke na huyo jamaa yake? No mi siwez subir uchapiwe mkeo na ujue ndo utaelewa nachopitia kwa sasa.
 
ukiwa na mwenza anafanya kazi dodoma inabidi ujiandae kisaikolojia lolote laweza kutokea .
 
...acha ujinga wa kusubiria hadi weekend, wahi kabla love bite haijafutika ukajionee mwenyewe kwa macho yako... huenda alin'gatwa na mtoto usiku.
#UzuriWakeHuwa HakunanagaTOOTHPRINT
 



Wavulana hamjui kuacha wanawake, kwa haya mahisia na maneno yako, utafika, utampiga, atalia, ataomba msamaha, utamwambia nimekusamehe baby penzi letu liendelee.

Namna ya kumuacha mwanamke:

1. Thibitisha kakusaliti, love bite? Inaweza kuwa hajakusaliti.

2. Ukithibitisha usaliti 100% piga kimya, usimsemeshe, usipokee simu yake.

3. Baada ya miezi akikufuate ndo umweleze, kupiga mwanamke sababu hakuitaji ni upumbavu.

Nasikitika sana sababu hutanielewa.
 
Hilo gari nipitishie hapa nyuma ya Martin Luther niwe nalipasha moto....
 
Hahaha ukidrive au sio. Nyie ndio mnafanya chama cha mambuzi kutuona sisi manyani
 
Hili nalo unaleta kufungulia uzi, siku hizi wanaume tumekuwaje
Boraa na ww ushangaee mkuuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Hv Kuna watu BAdo wanaliliaa mapenzii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mkuu,utatupa mrejesho
 
Punguza hasira mkuu swali la kujiuliza kwani ulimkuta bikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…