Mwanamke wangu anamiguu iliyokonda

issa zuber

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
14
Reaction score
9
Habarini za majukumu wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu, mke wangu anamiguu iliyokonda sana (hana supu).

Maumbile yake siyo mwembamba ila ni miguu tu imenyauka nyauka kama fito. Huwa inanikosesha amani sijifeel comfortable nikiwa nae hasa tukiongozana njiani.

KAMA KUNAUWEZEKANO WA DAWA AU HATA USHAURI NISAIDIENI WAKUU INANIUMA SANA MKE WANGU KUWA HIVYO.

Natanguliza shukrani
 
imenibidi nicheke yaan... labda nikuulize ulilazimishwa kumuoa??
 
Watu wa aina yako ndiyo mnasababisha wanawake watumie madawa ya kunenepesha maumbile. Kipindi unamuoa hukuiona? Au ulioa chura? Ridhika naye na uwe na amani kwa jinsi alivyo.
Kipindi Mungu anamuumba alijua kabisa yeye hahitaji miguu minene bali hiyo myembamba ndiyo saizi yake. Sasa wewe Unataka kimkosoa Mungu?
 

Naomba kuona miguu yako plz
 
Hizo fito wenzio waliona na wakaacha!!!!!! Wewe ndo umeziona leo,????? Acha waje ma-daktari pengine dawa za kichina zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…