Mwanamke wangu anamiguu iliyokonda

Mwanamke wangu anamiguu iliyokonda

Alioa kwa shinikizo...hajui kwamba kuna watu wamewakuta waume ama wake zao wakiwa wamejazia lakini ukichukua picha zao za miaka 15 iliyopita walikuwa vimbaumbau...huyo hajui anachokitaka nini kwa mwanamke na hapo akimwacha alafu akampata jamaa mwingine shape ya bidada ikabadirika mpaka miguu atakuwa anatokwa na machozi
Awajui tu
 
ila wakati unamtongoza bila shaka ulimwambia ana guu la champagne
 
Back
Top Bottom