madam boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 701
- 742
Awajui tuAlioa kwa shinikizo...hajui kwamba kuna watu wamewakuta waume ama wake zao wakiwa wamejazia lakini ukichukua picha zao za miaka 15 iliyopita walikuwa vimbaumbau...huyo hajui anachokitaka nini kwa mwanamke na hapo akimwacha alafu akampata jamaa mwingine shape ya bidada ikabadirika mpaka miguu atakuwa anatokwa na machozi