Mwanamke wangu kaja ghetto na rafiki yake

Mwanamke wangu kaja ghetto na rafiki yake

Alikuwa hataki ule mzigo, full stop.

Alikuja na rafiki yake makusudi ili ushindwe halafu akulaumu kama wewe ndiye umeshindwa ili aondokane na lawama zako juu yake. Hivyo angekuja pekee akakataa kukupa tunda ungemkasirikia ama kumsumbua.

Ana akili kukuzidi.
 
Upo Darasa la ngapi na hongera kwa kuijua Jf ukiwa na umri mdogo pia.
 
Kuna demu nimemtongoza akanikubali basi baada ya muda akawa ananiuliza " Baby unaish wap Natalie Nike kukuona honey Wang" basi kidume kdume nikamwambia " usijali malaika wangu muda si vilee utaiona kambi yang"..

Basi demu akawa anafurahi kweli anasema " jamani we honey utaniandalia zawadi gani?, Nikamuuliza, kwanza wewe unapenda nini?, akajibu napenda apple mpenzi, nikamwambia usjalii apple tu worry out ( hapo mpaka tunamalza maongezi demu alikuwa akiongea kwa feeling sana

Moja kwa moja nikajiongeza kansa kwamba demu anataka show (na ni kweli mawazo yang yalikuwa sahihi

Lakini cha ajabu siku ilipo fika nikamwita ghetto akaja ila cha kushangaza alikuja na best yake, basi wakaingia ndani tukacheki movie, tukala, then after ulipofika muda wa kuondoka basi wakaenda

ila dem alipo ondoka tu usiku alinitext akisema " fj4family wewe ni mwanaume kuna baadhi ya vitu lazima uwe unajiongeza, nikamuuliza una maana gani?, akasema "Ujue nilikuwa nina hamu lakini wewe ulivyo punguani hata hujiongezi"

Sasa nashangaa jamani kama alikuwa ana lengo hilo si angekuja peke yake?, Ningefanya vipi mbele ya rafiki yake?, Mbwaaaa zake😂😂😂😂😂
Alitaka Threesome kijana ukujiongeza tu? 😎😎
 
Alikuletea na chakula ya ziada.🤣

Huyo na rafiki yake ndio tabia yao ya 3 some,kwahiyo hapo bwana wa rafiki yake kawaonja wote.
 
dogo embu nipatie namba ya mpenzi wako kuna kitu ninge penda kumuelekeza ili mpate kudumu maishani mwenu ina onekana mnapendana sana
 
Back
Top Bottom