Mwanamke wangu kaniacha kisa simtafuti mara kwa mara

Kikawaida mpenzi wako anapokuacha ni jambo la kushukuru sana. Bora umejua mapema kuwa hakukupenda

Kwa sisi wanaume anakuwa amekupunguzia vizinga na hatari ya STDs maana huyo ni malaya kaamua kukahabika na mwanaume mwingine.

Haitakiwi kumforce mtu awe nawe kwenye mahusiano

Mwenye msala ni huyo ambaye kwa sasa anapiga mzigo kabeba malaya

Siku nyingine hakikisha unaona red flags mapema na kutangulia kumwacha mwanamke kabla hajakuacha
 
Sasa kama unamnyima attention ulitaka aendelee kujiumiza hapo

Mkipendwa mnaringa sana mpk mnajisahau ukute ndio wala ukiwapigia simu wanakwambia subiri nipokee hii simu nakurudia halafu ndio mazima
 
100%wanaume ndio hutagulia kumwacha mwanamke anakuja kutamka kakuacha kumbe ushamuacha , kiuhalisia ukishatembea na mwanamke 3 months unamchoka na ladha ya uchi wake inakukinai hapo ndio hua mwanaume huanza visa , sema anakua na wewe kwa basi tu zitabaki zinambeba tabia zake kwako , sema mwanamke hua hawajui hilo suala
 
 
Kama anajua kazi yako au shughuli zako sizani kama atalalamikia hilo, labda kama hajielewi, yamkini unamambo mengine ya siri huku ukimpotezea yeye, tafuta mnaye endana naye, ambaye hata ukimaliza mwezi au mwaka bila kuwasiliana naye sawa tu
 
Tuna ishi na wapenzi wa watu,ukichwa achika ,ukipendwa pendeka,over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…