Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sa'mbona wanaomsamamba mbona wote peku af'vitumbo ndi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa'mbona wanaomsamamba mbona wote peku af'vitumbo ndi
sawa mkuuFanya mambo yako achana na wanawake watakuchelewesha
Wanawake ni mashetani. Wanachepuka kufata ambacho mwanaume huna.Wanawake wanataka usichompa
Yah ndo walivyo....uamuzi hapo ni wako, ukabali kuishi nao hivyo walivyo au uachane naoWanawake ni mashetani. Wanachepuka kufata ambacho mwanaume huna.
Kama una pesa lakini siyo mcheshi, atatoka nje kutafuta wa kumchekesha. Kama hauna pesa show unapiga vizuri, atatoka nje kutafuta mwenye pesa.
pole yanini mwanaume uachwe utulilie sie huku ebu tafuta demu usiku huu Hadi asubuhi utakuwa ushapataPole sana mkuu
Na hii itamsaidiaFanya mambo yako achana na wanawake watakuchelewesha
100%wanaume ndio hutagulia kumwacha mwanamke anakuja kutamka kakuacha kumbe ushamuacha , kiuhalisia ukishatembea na mwanamke 3 months unamchoka na ladha ya uchi wake inakukinai hapo ndio hua mwanaume huanza visa , sema anakua na wewe kwa basi tu zitabaki zinambeba tabia zake kwako , sema mwanamke hua hawajui hilo sualaKikawaida mpenzi wako anapokuacha ni jambo la kushukuru sana. Bora umejua mapema kuwa hakukupenda
Kwa sisi wanaume anakuwa amekupunguzia vizinga na hatari ya STDs maana huyo ni malaya kaamua kukahabika na mwanaume mwingine.
Haitakiwi kumforce mtu awe nawe kwenye mahusiano
Mwenye msala ni huyo ambaye kwa sasa anapiga mzigo kabeba malaya
Siku nyingine hakikisha unaona red flags mapema na kutangulia kumwacha mwanamke kabla yake
Sasa kama unamnyima attention ulitaka aendelee kujiumiza hapo
Mkipendwa mnaringa sana mpk mnajisahau ukute ndio wala ukiwapigia simu wanakwambia subiri nipokee hii simu nakurudia halafu ndio mazima
[/QUOTE unaongea tu,ungejua situation ilivokua hata usingeongea ivo
Sasa unalilia nini?nimemla sana
Tuna ishi na wapenzi wa watu,ukichwa achika ,ukipendwa pendeka,overHabar ndugu zangu.
Awa wanawake sijiu wanakuwa na shida gani.Yaani kuna muda hata huwezi elewa anataka nini kwako,ili mapenz yadumu.
Anyway nimeachwa kisa anasema huwa simtafuti mara kwa mara. Sasa sijajua anataka nisiwe nafanya hata kazi ili nipate pesa.
kwel mkuuTuna ishi na wapenzi wa watu,ukichwa achika ,ukipendwa pendeka,over
Bora wewe mimi 4 days now namcheki kimya tukwel mkuu