Mwanamke wangu kaniacha kisa simtafuti mara kwa mara

Mi sinaga muda wa kubembelezana ukitaka kusepa we sepa wako wanawake mabilioni duniani
 
Achana nae, anakulisha kwani?...umejuana nae ukubwani halafu anakusumbua, watu hupambana na jua Kali wakirudi jioni wamechoka wamechakaa hata hamu tu ya kula inakata, kama uko dar ndo kabisa unaishi kama kuku..mambo mengine ni kuvumiliana tu.
 
Pole sana , wengine hawataki kutafutwa mara kwa mara hawafanani. Ni kuishi nao kwa akili
 
Mkuu usitumie nguvu kwenye mahusiano, ukiona mtu uliyenaye amesha poteza interest na wewe kubaliana na hiyo hali hata kama inakuumiza, kuendelea ku force ujue utakua unajidhalilisha na kushusha utu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…