Mwanamke wangu kaniacha kisa simtafuti mara kwa mara

Mwanamke wangu kaniacha kisa simtafuti mara kwa mara

Achana nae, anakulisha kwani?...umejuana nae ukubwani halafu anakusumbua, watu hupambana na jua Kali wakirudi jioni wamechoka wamechakaa hata hamu tu ya kula inakata, kama uko dar ndo kabisa unaishi kama kuku..mambo mengine ni kuvumiliana tu.
 
Habar ndugu zangu.

Awa wanawake sijiu wanakuwa na shida gani.Yaani kuna muda hata huwezi elewa anataka nini kwako,ili mapenz yadumu.

Anyway nimeachwa kisa anasema huwa simtafuti mara kwa mara. Sasa sijajua anataka nisiwe nafanya hata kazi ili nipate pesa.
Pole sana , wengine hawataki kutafutwa mara kwa mara hawafanani. Ni kuishi nao kwa akili
 
Mkuu usitumie nguvu kwenye mahusiano, ukiona mtu uliyenaye amesha poteza interest na wewe kubaliana na hiyo hali hata kama inakuumiza, kuendelea ku force ujue utakua unajidhalilisha na kushusha utu wako
 
Back
Top Bottom