Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti


Yani nilichokiamua after two days nitampa pombe nyingi na kumlazimisha kunywa baada ya hapo nitahakikisha namf...ra vibaya mno nakuachana nae
Kwa hizi akili lazima tu upigwe na vitu vizito, huna busara!

Cc:
Latent chaos
 
Achana na huu ufala mwanamke si mwanaume hadi aone aibu kuripoti alileweshwa akafanyiwa hivyo. Amini utaenda jela miaka 30, hasara itakuwa yako. Fukuza huyo mtu aondoke na hutakiwi kulala naye tena kama umejia hilo
Na utakuta alipewa mzigo. Tatizo ugomvi wakali hivi unaishaga kwa nyege. Jamaa yupo safarini week nzima hajala mzigo. Mwenzie kila siku analiwa.

Hafu unakuta kwa jamaa kuna nguo zake demu. Na siku anaondoka alibeba mafuta ya kupikia, sukari, mchele, unga, akaenda navyo kwa mwamba.
 
Nilidhani aliondoka na huyo mtu anayemnunulia nguo
 
Yani nilichokiamua after two days nitampa pombe nyingi na kumlazimisha kunywa baada ya hapo nitahakikisha namf...ra vibaya mno nakuachana nae

Kwanza pole sana kaka. Usaliti unauma .

Pili naona Mzani wa Upendo umeelemea upande mmoja.
Yaan umehakikisha kabisa kuwa wiki nzima alikuwa anatoa Jagina kwa mwanaume mwingine na ukamuona huyo mwanaume alaf bado umeweza kulala nae kitanda kimoja na bado unafikiria kumlomba?.

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”.mmmmh!

Bro. Huyo mwanamke hakupendi. Kubali hilo . Na anakaa na ww kwasababu hana pa kwenda. Na anajua ww unampenda zaid.

Ningekuwa ww.
Ningemfukuza arud kwa huyo mwanaume wake.
Na inaelekea hata jamaa alikuwa anakujua na akawa anakugongea.
Kwahiyo hao majambazi wanastahili kukaa pamoja.

Baada ya hapo upe Moyo na akili muda wa kupumzika na kupona majeraha.
Life goes On.
 
1. Tupo dunia ya hovyo, kwa sasa acha maisha ya fumanizi, ili kuepuka mengi ukisafiri ukitaka kurudi home toa taarifa ili usijue kinachoendelea, hapo utabaki na amani ya moyo.

2. Epuka sana kushika simu ya mkeo, utaepusha mambo mengi sana.

3. Mshukru MUNGU umejua aina mke uliye naye, jitahd sana kukaa kimya sana, kuwa bize na shughuli zako, usimfukuze mkeo kama mna mtoto
-jishushe kwa manufaa ya mwanao/wanao

4. acha kumpga ili kuepusha madhara yanayoweza kuharibu future yako.

5. kama kweli ni mkeo, msamehe, jitahd kumkalisha chini, jitahd kumletea vijizawadi kama nguo, uwapo mbali jitahidi sana kuwasiliana naye muda kwa muda.
-ukitaka kumkalisha chn (kuongea naye) kama uchumi unaruhusu jitahd kumtoa out/nje ya mazingira ya nyumbani

6. muombee mkeo kwa imani yako, muovu ibilisi yupo kazn kuharibu ndoa.

7. ikishndkana washrikishe wazazi wa pande zote mbili (siyo wachungaji, serikali au marafiki-hao watu ni wabaya kwenye ndoa..hamtanielewa)

8. USIMPGE MKEO

9. tafuta pesa Bro kutunza familia yako
 
Sawa mkuu. Endelea kumuangalia mpaka atakapokuua
 
Ndiyo umpige? πŸ₯Ή
Yaan mi kingenuka
Huwez shindana na mwanaume dear.
Jamaa ana huruma sana na huruma sio malezi.
Tena ukute kampiga vibao viwili vitatu.

Kwakuwa Tuagize bado uko karibu na unalala na huyo Jambazi. Hebu fanya namna tukuone kwenye Media 😊😊😊😊

mwenzako aliachwa tu akachoma chumba moto na kuua wadada wawili. Ww umesalitiwa wazi wazi. Hebu waloge familia yake yote 😊😊😊😊

Huyo jambazi kakuchezea kwa miaka 3. Amekuharibia ujana wako.😊😊😊
 
The only shimo a man enters a one army man ni kaburi tu, hayo wengne lazima sharing bt huyo wako kuja akuambie live mbele ya mchepuko wake kuwa humhudumii vizuri na anakuzd 5yrs ukweli ni kuwa wote wawili ni michepuko kwake.
Tuliza akili kwanza na ukubaliane na kilichotokea then move on with your life kwa kuvuta chuma kingne kama kweli ungelikuwa unamhudia vizur kwa sasa hivi mngekuwa na mtoto au watoto lakin mpaka mda huu hujataja mtoto. So la msingi na seko sitakwambia uachane nae maana mtakuja mrudiane muanze kusoma coments zetu mkitutukana matusi na kutuita wambea. Ushauri wangu leo; nenda kwanza upime presha, sukari, vvu afu ujue la kufanya wewe kama wewe maana hatukuwepo mkioana. Ila asikufanye uwachukie wanawake utampata wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…