Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Yazingatie.Maneno mazito sana haya mkubwa

Tutakutana mahakamani!Suala la kupiga wanawake ni la mwanaume mmoja mmoja kulielewa na kulichukulia kibinafsi.
Wabongo wengi bado wanaishi kijima. Umasikini ni mkubwa, elimu ni ndogo.
Mwanamke unajua kabisa mwanaume wako ana hasira za karibu unamfanyia vituko unategemea nini? Shukuru umepigwa na sio kuuawa.
Ukizingua angalia unayemzingua pia.
Jidanganye! Kila siku mama gwajima anasema ukipigwa na mumeo nenda polisi hadi namba yake ametupa sembuse huyu anampiga mtu hajamuoa wala hajamtolea mahari.Kesi la shambulio na kudhuru mwanamke wako tena kisa usaliti wa mapenz Linakwepa kirahisi sana.
hili hata mahakaman halifiki.
Ni tofauti na unyanyasaji wa Kijinsia.
Sitaki maneno mengi nipe location yako nije kukubondaToka hapa bwana. We umuue nani? 😂😂
Tuagize mjinga sana 😃Mchana umefika. Kula ugali ushibe alaf toka nenda Bar ukanywe bia za kutosha , Lipa namba tuma kwa min -me akusort.
Maana unastahili kulewa leo.
Ila ww naona uko lege lege. Utalewa alaf uende kulia lia kwa huyo jambazi wako.😊😊😊😊
Unasema "mwanamke wangu"
Ulimkuta bikira?
Mwanamke yoyote ambaye sio bikira ni malaya wote tutamtomba ni suala la zamu tu ikifika
Na unaweza kuta hana mpango wa kando.Tuagize mjinga sana 😃
Pole sana kakaHabari za wakati huu wakuu,
Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenifanyia jambo la kikatili sana katika maisha yangu. Ni mwanamke pekee niliyempeleka nyumbani kwetu kumtambulisha.
Hatimaye siku ya jana nimeweza kujua ukweli kuwa amenisaliti.
Nilimuaga kuwa nasafiri kikazi na nitakaa wiki mbili mkoani, lakini matokeo yake nilikaa wiki moja tu.
Niliporudi kutoka mkoani, nilifika nyumbani na kumkuta hayupo. Nikawauliza majirani, wakaniambia huyu mtu hayupo yapata wiki sasa na aliwaambia anaenda kwao kusalimia.
Nikampigia simu kumuuliza yuko wapi, akaniambia yuko nyumbani. Nikamwambia, "Mbona mimi niko nyumbani toka jana na sijakuona?" Nikamwambia arudi nyumbani haraka sana.
Baada ya kupita lisaa limoja akarudi nyumbani.
Nikamuuliza alikuwa wapi wiki nzima na kwa nini hakuwa nyumbani. Akaniambia alikuwa kwa rafiki yake kwa sababu aliona kukaa peke yake atakuwa mpweke.
Nikamuuliza, "Wakati unaondoka kwa nini hukinipa taarifa yoyote?"
Nikachukua simu na kumpigia rafiki yake aliyesema yupo kwake. Maajabu, rafiki yake alikataa kuwa huyo mtu hakuwa kwake hata siku moja.
Nikaanza kumpiga huku nikimwambia aseme kweli alikuwa wapi. Akaendelea kuapa kuwa alikuwa kwa huyo huyo rafiki yake ambaye amemkataa.
Nikachukua simu yake na kufanya upekuzi. Ndipo nilipobaini namba ya simu ambayo imefutwa na ilikuwa imesaviwa "Mine♥️".
Hapo ndipo alipoanza kutetemeka na kulia huku akisema kuwa huyo jamaa amekuwa akimtongoza mara kwa mara na kumkataa, huku akiwa analia na kuapia kwa jina la Mungu. Wakati huo na kipigo kinaendelea.
Nikaamua kuipiga ile namba kwa kutumia simu yake.
Jamaa alipokea na kumuita mke wangu. Roho iliniuma sana.
Nikamwambia mimi ni kaka yake huyu binti kapata matatizo. Jamaa akasema, "Sawa, nakuja hapo fasta."
Nilishangaa kuwa jamaa anapajua mpaka ninapokaa.
Alivyofika nikamwambia, "Huyu ni mwanamke wangu wa muda mrefu, na anasema alikuwa kwako. Je, ni kweli?"
Jamaa akaniambia, "Kweli alikuwa kwangu kwa muda wa wiki nzima."
Nilijisikia vibaya mpaka nguvu ziliniishia mwilini na nikakaa chini.
Nikamuuliza mwanamke wangu, "Je, ni kweli ulikuwa kwa huyu jamaa?"
Mwanamke wangu akaniambia, "Ni kweli nilikuwa kwake."
🥺 Mwanamke niliyemtarajia kufunga naye pingu za maisha kaamua kunisaliti.
Nikamuuliza sababu zipi zilizomfanya anisaliti.
Akaniambia mbele ya jamaa kuwa simhudumii vizuri, kuna vitu huwa simpi, kama akitaka nguo mpya.
Nikamuuliza, "Kweli mke wangu, umri wote huo unawaza kuvaa na kupendeza na wala si kufanya maisha yatakayofanya tuishi vizuri hapo baadaye?"
Nikamuambia, "Hata kama ulikuwa unataka nguo, ulikuwa unashindwa kuniambia, 'Mume wangu, kuna nguo nimeipenda nataka uninunulie?' Je, nisingekununulia?"
Sasa kila kitu mpaka nikuambie? Kiukweli nilikosa nguvu sana.
Ukweli ni kwamba huyu mwanamke kanizidi miaka mitano kwa umri. Nilikuwa natarajia kuwa kwa kuwa kanizidi umri basi atakuwa mtu sasa kwangu, akijua kuwa ameshamaliza mambo ya ujana ili tufanye maisha.
Lakini kumbe nimegundua bado hajamaliza mambo yake, na pengine hata huko nyuma alikuwa akinisaliti sana bila mimi kujua.
Hatimaye jana nimeweza kujua kuwa si mwanamke sahihi kwangu.
Usiku wa kuamkia leo usingizi wangu ulikuwa taabu sana huku nikimuangalia na kujiuliza nimfanye nini huyu mwanamke.
Kwa nini kaamua kunifedhehesha sana?
Nitaweka wapi uso wangu nikitembea huko barabarani?
Ndugu zangu, nipo katika hali ngumu sana ya kimawazo.
Mahakamani kuna milolongo itakayokupotezea muda na gharama zingine.Tutakutana mahakamani!
Usiweke matarajio makubwa kwa mwanamke. Tunajifunza kutokana na makosa!Na mimi matarajio yangu yalikuwa hivyo
Wanaangalia sababu.Jidanganye! Kila siku mama gwajima anasema ukipigwa na mumeo nenda polisi hadi namba yake ametupa sembuse huyu anampiga mtu hajamuoa wala hajamtolea mahari.
Sio hadith mzee ni jambo ambalo limenitokea jana tuKwahiyo bado upo nae mpaka unaandika haya??Any way,inaweza ikawa hadithi ya kutunga ndio maana umepata nguvu ya kuandika kisa vizuri bila stress na nguvu ya kutosha ya akili wakati tukio unasema ni la jana yaani leo kesho uko na nguvu na akili safi! Nenda kwa Shigongo mwambie nimekutuma!
Mkubwa mwanamke akishakudhihirishia tabia yake na wewe ukajua hawezi kukusumbua tena, huwezi amini jana hiyo hiyo nilikuwa nacheka sanaBado unaendelea kulala naye duh!
Mkuu una roho ngumu sana au unaishi kwake mwanamke?
Pole sana kwa yote
Nina mademu wa nje wanafika wanne lakini, naweza nikasex nao nawala sifurahie mapenzi kuliko ninavyofuc..kna huyu demu
Habari za wakati huu wakuu,