Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Bado mtoto wewe:Wanaume tunaelewa;
1.Usiende nyumbani kwa kushtukiza,
2.Usimfuatilie mkeo.Siku ukianza ndo utagundua mambo na utaharibu.
3.Kumuoa mtu sio kwamba wewe ndo the best choice kwake.Ni circumstances tu, lkn usikute kuna mtu anampenda mpaka kesho.
4.Kupigiwa ni siri za ndani, kama mtu kakuheshimu kaifanya siri - bahati mbaya ukajua iache ikae siri hivyo hivyo mpaka itakavyojidhihirisja yenyewe.
5.Mke/mme hachungwi
6.Kama huna ujasiri ya kumuacha usipekenyue intentionally.Acha vitu vije vyenyewe na huwa havifichiki ingawa vinaweza chukua muda.
7.Wake zetu na waume zenu wana rafiki zao either mme/mke ambao wanaongea nao vitu vingi na ni washauri wao wakubwa.Ukiona mama analeta wazo jua kuna asilimia kadhaa kuna mtu kamshauri.
8.Kuishi na mama wa vizazi vya 1980's kuja mbele sio lele mama, wamepitia kwingi sana - tangu shule, mpaka vyuo mpaka makazini.Wanauelewa, wanakutana na watu wengi, wanatongozwa na watu wengi kulingana na exposures zao..therefore elewa YOU WILL NEVER FIT 100% TO A WOMAN, Ni vile wanatuvumilia tu, na sisi tunawavumilia- sio kwamba ni wema sanaa au wamekamilika.

NOW USIMPIGE-FANYENI TRADE NA HUYO JAMAA MWENZIO- KWANZA HUJAMUOA- BADO UKO UNA MPIGANIA.
ONGEENI KAMA MNAFANYA BIASHARA, UTAKUTA MWENZIO ANA MTU WAKE KWINGINE WALA SIO HUYO MSICHANA WAKO.
 
Mkubwa mwanamke akishakudhihirishia tabia yake na wewe ukajua hawezi kukusumbua tena, huwezi amini jana hiyo hiyo nilikuwa nacheka sana
atatengeneza mbinu nyingne ambayo itakuja kuwa heart attack kwako
 
😁😁😁😁
haya mambo ya kingese sanaa, pole kijanaa achana nae kwanza hajakuzaa na hukuzaliwa nae, tafuta hela fanya mazoezi achana na hizo takataka sijui mapenzi sijui ndoa, pigania maisha yako akitokea wa kukuelewa ishia nae piga miti akizingua mpe mkono wa kwaheri.. lazima tuwe ja roho mbaya
Jana ilikuwaje mzee ukawa una act kama mwanamke na yale mapicha picha?

Mbona uko bitter sana kuhsu masuala ya ndoa?
 
Wanaume tukubali tu kuwa tunagongewa sana tu na wenzetu pengine hii itapunguza mauji ya kimapenzi kutokana na wivu. We baba kama una mke jua kuna njemba inakula mke wako! Ni suala la muda tu kila mwanaume mke wake ataonjewa mpiko whether you like or not, uko alive or dead, mke atadabuliwa tu, labda huyo awe mcha Mungu na ameweka nadhiri kuwa hatamsaliti mume wake maisha yake yote
 
Kabisa mkuu, upate bahati sana uje kupata mke ambae atakuwa wa kwako tu daima vinginevyo lazima utalia tu, hasa hawa wanawake ambao tunawakuta mjini tayari wanauwezo wa kupanga magetto yao ni balaa sana
 
Nikamuuliza mwanamke wangu, "Je, ni kweli ulikuwa kwa huyu jamaa?"

Mwanamke wangu akaniambia, "Ni kweli nilikuwa kwake."

Usiku wa kuamkia leo usingizi wangu ulikuwa taabu sana huku nikimuangalia na kujiuliza nimfanye nini huyu mwanamke.
Kama uliweza kumruhusu alale tena kwako, 🤣🤣🤣 hakuna kitu tunaweza kukushauri.
 
Nikiwa kijana mdogo nilijuaga ukioa tu basi ni wewe tu ndiye utakuwa unampakua mke wako peke yako maisha yote kumbe mambo sivyo. Mke anaweza kujitongozesha/kutongozwa na njemba nyingine ili tu aonje ladha tofauti huko. Akigundua nje kuna ladha tofauti na ndani na ni tamu zaidi ya ndani basi hakuna rangi utaacha kuona ndani ya nyumba. We jali tu mko naye, mambo ya kunyanduliwa nje usiyajue na ukiyajua potezea usiyafuatilie. Ukijitia wivu kuyafuatilia ndoa itasambaratika
 
Jamaa bado ana mambo ya kizamani Sana ya kupigiana, ndio Maana anaonekana Fala kwa Mwanamke huyo, jamaa pamoja na kukuta ushahidi 100% bado ameenda kulala naye tena.

Mwanamke hawezi Kuishi na Boya kama huyu lazima atafute Wanaume wenybsifa za kiume
😊imeisha hiyo
 
Huwez shindana na mwanaume dear.
Jamaa ana huruma sana na huruma sio malezi.
Tena ukute kampiga vibao viwili vitatu.

Kwakuwa Tuagize bado uko karibu na unalala na huyo Jambazi. Hebu fanya namna tukuone kwenye Media 😊😊😊😊

mwenzako aliachwa tu akachoma chumba moto na kuua wadada wawili. Ww umesalitiwa wazi wazi. Hebu waloge familia yake yote 😊😊😊😊

Huyo jambazi kakuchezea kwa miaka 3. Amekuharibia ujana wako.😊😊😊
🥹weee,sema kweli?!🥸
 
Jana ilikuwaje mzee ukawa una act kama mwanamke na yale mapicha picha?

Mbona uko bitter sana kuhsu masuala ya ndoa?
😅😅 humu jf watu wa ajabu, mtu anajua kabisa ni mwanaume alafu anajifanya hajui .

ndoa ni takata tu mkuu, na sio kwamba nipo bitter nazo ukweli ni huo
 
Mimi mwanaume wa kunipiga simrudishii sababu naweza nikamuua niende jela.
Mimi naenda kufungua mashtaka ustawi wa jamii na polisi tukutane mahakamani.
Upo sahihi kabisa
Ila mimi namrudishia vizuri tu mpenzi…na baada ya hapo namlazimisha isimame…🤨 na atasimamisha tu🤒
 
Na shida mijamaa ikiwa inapiga mke/demu wa mtu anaemjua kabisa huwa anaikamia kwelikweli, inapigika sana sababu siyo chombo yake. Yaan ukifumania inakuwa kama ukimuazimisha mtu gari yako hafu unamkuta barabarani anavyoiendesha kwa fujo au speed hata wewe mwenye gari huwajawahi kuifikia😁 Inauma snaa!
Wengine wakila wake za watu wanaomba hadi tigo Mwamba 777
 
Habari za wakati huu wakuu,

Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenifanyia jambo la kikatili sana katika maisha yangu. Ni mwanamke pekee niliyempeleka nyumbani kwetu kumtambulisha.

Hatimaye siku ya jana nimeweza kujua ukweli kuwa amenisaliti.

Nilimuaga kuwa nasafiri kikazi na nitakaa wiki mbili mkoani, lakini matokeo yake nilikaa wiki moja tu.

Niliporudi kutoka mkoani, nilifika nyumbani na kumkuta hayupo. Nikawauliza majirani, wakaniambia huyu mtu hayupo yapata wiki sasa na aliwaambia anaenda kwao kusalimia.

Nikampigia simu kumuuliza yuko wapi, akaniambia yuko nyumbani. Nikamwambia, "Mbona mimi niko nyumbani toka jana na sijakuona?" Nikamwambia arudi nyumbani haraka sana.

Baada ya kupita lisaa limoja akarudi nyumbani.

Nikamuuliza alikuwa wapi wiki nzima na kwa nini hakuwa nyumbani. Akaniambia alikuwa kwa rafiki yake kwa sababu aliona kukaa peke yake atakuwa mpweke.

Nikamuuliza, "Wakati unaondoka kwa nini hukinipa taarifa yoyote?"

Nikachukua simu na kumpigia rafiki yake aliyesema yupo kwake. Maajabu, rafiki yake alikataa kuwa huyo mtu hakuwa kwake hata siku moja.

Nikaanza kumpiga huku nikimwambia aseme kweli alikuwa wapi. Akaendelea kuapa kuwa alikuwa kwa huyo huyo rafiki yake ambaye amemkataa.

Nikachukua simu yake na kufanya upekuzi. Ndipo nilipobaini namba ya simu ambayo imefutwa na ilikuwa imesaviwa "Mine♥️".

Hapo ndipo alipoanza kutetemeka na kulia huku akisema kuwa huyo jamaa amekuwa akimtongoza mara kwa mara na kumkataa, huku akiwa analia na kuapia kwa jina la Mungu. Wakati huo na kipigo kinaendelea.

Nikaamua kuipiga ile namba kwa kutumia simu yake.

Jamaa alipokea na kumuita mke wangu. Roho iliniuma sana.

Nikamwambia mimi ni kaka yake huyu binti kapata matatizo. Jamaa akasema, "Sawa, nakuja hapo fasta."

Nilishangaa kuwa jamaa anapajua mpaka ninapokaa.

Alivyofika nikamwambia, "Huyu ni mwanamke wangu wa muda mrefu, na anasema alikuwa kwako. Je, ni kweli?"

Jamaa akaniambia, "Kweli alikuwa kwangu kwa muda wa wiki nzima."

Nilijisikia vibaya mpaka nguvu ziliniishia mwilini na nikakaa chini.

Nikamuuliza mwanamke wangu, "Je, ni kweli ulikuwa kwa huyu jamaa?"

Mwanamke wangu akaniambia, "Ni kweli nilikuwa kwake."

🥺 Mwanamke niliyemtarajia kufunga naye pingu za maisha kaamua kunisaliti.

Nikamuuliza sababu zipi zilizomfanya anisaliti.

Akaniambia mbele ya jamaa kuwa simhudumii vizuri, kuna vitu huwa simpi, kama akitaka nguo mpya.

Nikamuuliza, "Kweli mke wangu, umri wote huo unawaza kuvaa na kupendeza na wala si kufanya maisha yatakayofanya tuishi vizuri hapo baadaye?"

Nikamuambia, "Hata kama ulikuwa unataka nguo, ulikuwa unashindwa kuniambia, 'Mume wangu, kuna nguo nimeipenda nataka uninunulie?' Je, nisingekununulia?"

Sasa kila kitu mpaka nikuambie? Kiukweli nilikosa nguvu sana.

Ukweli ni kwamba huyu mwanamke kanizidi miaka mitano kwa umri. Nilikuwa natarajia kuwa kwa kuwa kanizidi umri basi atakuwa mtu sasa kwangu, akijua kuwa ameshamaliza mambo ya ujana ili tufanye maisha.

Lakini kumbe nimegundua bado hajamaliza mambo yake, na pengine hata huko nyuma alikuwa akinisaliti sana bila mimi kujua.

Hatimaye jana nimeweza kujua kuwa si mwanamke sahihi kwangu.

Usiku wa kuamkia leo usingizi wangu ulikuwa taabu sana huku nikimuangalia na kujiuliza nimfanye nini huyu mwanamke.

Kwa nini kaamua kunifedhehesha sana?

Nitaweka wapi uso wangu nikitembea huko barabarani?

Ndugu zangu, nipo katika hali ngumu sana ya kimawazo.
 
Attachments

  • downloadfile(31).jpg
    downloadfile(31).jpg
    284 KB · Views: 16
Bado mtoto wewe:Wanaume tunaelewa;
1.Usiende nyumbani kwa kushtukiza,
2.Usimfuatilie mkeo.Siku ukianza ndo utagundua mambo na utaharibu.
3.Kumuoa mtu sio kwamba wewe ndo the best choice kwake.Ni circumstances tu, lkn usikute kuna mtu anampenda mpaka kesho.
4.Kupigiwa ni siri za ndani, kama mtu kakuheshimu kaifanya siri - bahati mbaya ukajua iache ikae siri hivyo hivyo mpaka itakavyojidhihirisja yenyewe.
5.Mke/mme hachungwi
6.Kama huna ujasiri ya kumuacha usipekenyue intentionally.Acha vitu vije vyenyewe na huwa havifichiki ingawa vinaweza chukua muda.
7.Wake zetu na waume zenu wana rafiki zao either mme/mke ambao wanaongea nao vitu vingi na ni washauri wao wakubwa.Ukiona mama analeta wazo jua kuna asilimia kadhaa kuna mtu kamshauri.
8.Kuishi na mama wa vizazi vya 1980's kuja mbele sio lele mama, wamepitia kwingi sana - tangu shule, mpaka vyuo mpaka makazini.Wanauelewa, wanakutana na watu wengi, wanatongozwa na watu wengi kulingana na exposures zao..therefore elewa YOU WILL NEVER FIT 100% TO A WOMAN, Ni vile wanatuvumilia tu, na sisi tunawavumilia- sio kwamba ni wema sanaa au wamekamilika.

NOW USIMPIGE-FANYENI TRADE NA HUYO JAMAA MWENZIO- KWANZA HUJAMUOA- BADO UKO UNA MPIGANIA.
ONGEENI KAMA MNAFANYA BIASHARA, UTAKUTA MWENZIO ANA MTU WAKE KWINGINE WALA SIO HUYO MSICHANA WAKO.
NI CHUNGU ALAFU NI NGUMU KUMEZA ,

kwenye biblia mwanamke kukucheat ni laana.
Soma kumbukumbu la torati 28
Utakutana nayo.

Ndiyo maana kwenye biblia
Mungu aliwapigania wake wa , Ibrahim,isaka na yakobo wasilale na farao na abimeleki
 
Wengine wakila wake za watu wanaomba hadi tigo Mwamba 777
Mkuu huwa hawaombwi, wanawekewa tu huko nyuma. Yaan ukijua mkeo anavyofanywa na wahuni hutotamani kumuona tena. Wahuni wanajua huyu siyo wangu so wanamfanya watakavyo wao hata kumuharibu huko nyuma.
 
Back
Top Bottom