Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Umefunga naye ndoa?, kama hukufunga naye ndoa haiwezekani akawa mkeo...jingine unathubutu vipi kuendelea kulala naye, kwanini asingerudi na huyo Jamaa?....Fanya maamuzi, achana na mambo ya kurudisha visasi, mtimue maisha mengine yaendelee, she belongs to the streets...
 
Fukuza hiyo mbwa haraka.Chief tafuta pesa kwa sasa hakuna mwanamke mwenye mwanamme mmoja.Jirani yangu alikuwa anajisifu mkewe katulia ila alichokuja kukibaini
 
Mimi mwanaume wa kunipiga simrudishii sababu naweza nikamuua niende jela.
Mimi naenda kufungua mashtaka ustawi wa jamii na polisi tukutane mahakamani.
Kesi la shambulio na kudhuru mwanamke wako tena kisa usaliti wa mapenz Linakwepa kirahisi sana.

hili hata mahakaman halifiki.

Ni tofauti na unyanyasaji wa Kijinsia.
 
Mimi mwanaume wa kunipiga simrudishii sababu naweza nikamuua niende jela.
Mimi naenda kufungua mashtaka ustawi wa jamii na polisi tukutane mahakamani.
Suala la kupiga wanawake ni la mwanaume mmoja mmoja kulielewa na kulichukulia kibinafsi.
Wabongo wengi bado wanaishi kijima. Umasikini ni mkubwa, elimu ni ndogo.

Mwanamke unajua kabisa mwanaume wako ana hasira za karibu unamfanyia vituko unategemea nini? Shukuru umepigwa na sio kuuawa.

Ukizingua angalia unayemzingua pia.
 
Si ndo nyie mnaonishambulia nikisema ndoa ni usenge
 
Nakazia.

Huyo mwanamke hakustahili.
Na inapoelekea unaenda kumsamehe.

Nikukumbushe tu kuwa .Real Men hawavumilii wala kusamehe Usaliti.
 
Usijilaumu sana, mtu mzima akiamua kukusaliti, huo ni uamuzi wake mwenyewe, kama kulikuwa na mapungufu kwenye mahusiano, njia sahihi ilikuwa ni kuzungumza au kuondoka lakini siyo kulala in another man's house for a whole week.

Hastahili kuwa na wewe wala wewe haustahili kuwa naye.
 
Wewe ni mpuuzi, sio Kwa kusalitiwa Bali Kwa jinsi unavolalamika na kushinda kuchukua maamuzi ya kuachana na huyo mshangazi unayemuita eti mkeo.
 
Pole sana mkuu ingawa utafiti unaonyesha.πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20260616_032419.jpg
    69.4 KB · Views: 30
Maneno mazito sana haya mkubwa
 
Kwahiyo bado upo nae mpaka unaandika haya??Any way,inaweza ikawa hadithi ya kutunga ndio maana umepata nguvu ya kuandika kisa vizuri bila stress na nguvu ya kutosha ya akili wakati tukio unasema ni la jana yaani leo kesho uko na nguvu na akili safi! Nenda kwa Shigongo mwambie nimekutuma!
 
Na mimi matarajio yangu yalikuwa hivyo
Mchana umefika. Kula ugali ushibe alaf toka nenda Bar ukanywe bia za kutosha , Lipa namba tuma kwa min -me akusort.

Maana unastahili kulewa leo.

Ila ww naona uko lege lege. Utalewa alaf uende kulia lia kwa huyo jambazi wako.😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…