Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mkuu kama vijana wanavyosemaga 'umemaliza kila kitu' lakini nahisi auto correct imekukosesha hapo kwenye 'torcher' nadhani ulidhamiria kuandika 'torture'.
Pamoja mkuu.Sure, kind of you
Nipo tayar kukusubiri bby umalize shuleBado baby ndo namaliza form 6 mwaka huu
Uliulizwa..kwa nini hukumuoa huyo chepuko badala ya huyo mkeo?Shukrani mkuu. Wife nampenda sana. Huwa akitishia kuondoka huwa naona dunia imefika ukingoni. Kiufupi wife means a world to me. Tatizo huyu mama wa mwanangu nampenda kinyama na nikiwa naye faragha huwa ananikuna kisawasawa. Ni wale mademu wenye utundu wa asili, pia she is very beautiful. Kumuacha aende zake sio rahisi as simple as people may think.
Torture plz.. Dont torcher your children please, dont torcher your wife.
Hovyo kabisa wewe unachotafuta utakipataMkuu nipo njia panda kwelikweli. Mama wa mwanangu namkubali sana. Halafu nina wivu naye sana. Huwa nikipiga simu yake halafu nikakuta ipo busy huwa najisikia vibaya sana. Kiufupi nampenda.
Ayayaaa kuna ambaye ananisomesha tayari baby ila wewe nimekupenda kuliko uyu, nlimpendea tu pesa zake lakini saivi simtakiNipo tayar kukusubiri bby umalize shule
Chuo nitakusomesha baada ya kukuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
ameadmit ujinga wa kuwa na michepuko Na ile heshima ya mke au familia kwa ujumla ..hilo tu .Anajielewa wakati anakuambia amezaa nje ya Ndoa na hapohapo anasema anamheshimu sana mkewe? Hii kejeli kwa mke wake..wewe umesoma ushauri ukaacha tabia ya kishenzi aliyojitolea mfano. Yaani mtu amechepuka hadi anapata mtoto wewe unamsifia..!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa hiloAyayaaa kuna ambaye ananisomesha tayari baby ila wewe nimekupenda kuliko uyu, nlimpendea tu pesa zake lakini saivi simtaki
Mkuu upo sahihi mno. Najutia maamuzi yangu. Ni ubinafsi mkubwa sana.Ni bora ungemuoa huyo uliyezaa naye kuliko unayoyafanya muda mwingine tunafanya mambo tunahisi ni sawa na tunaona ufahari kumbe sio sawa hebu geuza upande wa pili angekuwa anafanya mkeo hivyo mahusiano yenu yangekuwaje? Ukiwa umeoa unapotaka kufanya jambo fikiria na upande wa pili, tusiwe wabinafsi huku tukitanguliza haja zetu mbele
Basi kama nafsi inakusuta achana na huyo mzazi mwenzio baki na mkeo mtengeneze familia iliyoboraMkuu upo sahihi mno. Najutia maamuzi yangu. Ni ubinafsi mkubwa sana.
Ntantafuta nimuoe sababu si mkeo, Nafikiri tutaheshimianaMkuu nipo njia panda kwelikweli. Mama wa mwanangu namkubali sana. Halafu nina wivu naye sana. Huwa nikipiga simu yake halafu nikakuta ipo busy huwa najisikia vibaya sana. Kiufupi nampenda.