Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

Naona wengi hawatoi ushauri alioomba mtoa mada, back to the mada

Endelea kujali mtoto, ulizia afya yake, mahitaji yake na automatically mtarudiana (kimapenzi)

Angalizo, usipende kutoa vitisho wakati huwezi kuvi handle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo sahihi mno. Najutia maamuzi yangu. Ni ubinafsi mkubwa sana.
Pole sana kwa mkeo anajua anaishi na ampendaye kumbe anapendwa mzazi mwenzie, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] yaani kuna vitu kabisa unampunja mkeo unavitoa huko daa, chagua moja usimuumize mkeo siku makali ya kisu yakigeuza usitafute gunia za mkaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shida ni moyo hata mimi yupo niliezaa nae na sasa amezaa na Mwana mwingine japo na Mimi nimeoa ila moyo umegoma kabisa kumtoa, labda cha msingi ni kujaribu kuwa mbali nae ili kupunguza kumpenda maana vinginevyo ndoa yako itaenda kuharibika na pengine ex wako ashapata mwingine ukajikuta unakosa vyote, binafsi nimejitahidi kusitisha mawasiliano kwa mda mrefu sana labda yeye ndo anitafute na akinitafuta huwa sipendi kuongea nae mda mrefu na nimefanikiwa kwa asilimia 87 hizi zilizobaki kwa ajili ya mtoto tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi endelea kuzini lakini mwisho wa ubaya aibu! Maana hutaki ushauri unalazimisha unalowaza wewe uungwe mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNAMPENDA MWANAO? ACHA KELELE MY NDUGU, ONYESHA MAPENZI YOTE KWA MWANAO MWENYEWE ATAKUPA MPAKA ROHO YAKE, MAANA WEWE UNAONEKANA KUWA BABA USIYEWAJIBIKA. MUDA SIO MREFU MWANAUME MWENZAKO ATAPEWA PAPUCHI NA MTOTO KABISA
 
Sasa unaomba ushauri wa nini wakati unampenda mchepuko kuliko mwanamke aliyeamua kuishi na wewe?!
Wanawake ni wavumilivu sana, lakini ni wataalam wa kuhesabu makosa mioyoni mwao, siku akisema "YATOSHA" hakika hageuki wala hashauriki!!
Wewe endelea na huyo mchepuko wako sababu umesema vizuri kwamba anahita better treatment sawa na aliyeondoka! Kwahiyo hujapungukiwa kitu!!
 
Hizi ndoa za siku hizi bana ni shida. Wanawake wanaroga sanaa ili waolewe. Matokeo yake dawa zikiisha nguvu mwanaume anakumbuka alikotoka. Usikute huyo mke aliroga. Kakuta mwenzie yupo tena ameshazalishwa kapambana na waganga hadi kaolewa yeye. Sasa yanamrudi. Haya mambo yanachanga jamanii. Mungu atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…