Mwanamke zingatia haya ni kwa faida yako

Mwanamke zingatia haya ni kwa faida yako

Akina dada naomba niwajuze machache huenda yakawa msaada kwenu.

1.Usitumie sabuni yeyote yenye chemical kujisafishia sehemu za siri(hupelekea kuu walinzi wa maeneo hayo na kukusabishia fungus na muasho ukeni.

2.Usitumie ndoo ya kudekia kwa kwenda kuogea(hubeba vimelea na vijidudu vitakavyokusabishia UTI na fungus.

3.Wakati wa kujisafisha baada ya haja kubwa nawa kwa kutoka mbele kuelekea nyuma(hii itasaidia vijidudu vya kinyesi visiingie ukeni na kukuletea madhara.

umeeleweka
 
Makamee mi napenda sana kuogea sabuni yamagadi/mkaa vipi ina tatizo??
 
Thanks bt unaweza kunifahamisha sabun zinazoweza kutumika?!? Refer..Usitumie sabun zenye kemikali
 
Back
Top Bottom