Is it? Sio kama ana shidawewe 'umemzoesha' afanye nini?
unam honga na yeye anaenda kuhonga mwingine....
kazi ni kwako
piga chini fasta!! Eboo anakugeuza atm!!! MiIMARIOO inaniboa kuliko majabanzi!!wama jf naomba ushauri wenu, mwanamme kuomba pesa kwa mpenzi wake, ni sawa? Nina mpenzi ambaye kutwa ana shida yeye, mimi sijawahi kumuomba, lakini yeye ndio kila siku ana matatizo ya kutaka pesa, na sio ndogo. Nimechoka, sasa hivi nimeamua kumchunia. Naomba uzoefu wenu wakaka, hii maana yake nini? Anadai kipato changu kikubwa kuzidi yeye, na hapa katangaza ndoa. Ushauri wenu ni muhimu kabla sijajiingiza kichwa kichwa.
dada nini tena? Mimi mkaka akinitokea namwambia nasoma nimefulia mbaya mwenyewe anatoka nduki balaahii thread imenitia hasira kidogo............
Niliwahi kumsaidia mtu fulani (najua atasoma hapa) kwa kujua kuwa ni genuine reason bwana weeee baada ya muda tukakorofishana na kufikia hatua ya kutoleana maneno makali sana alichoniambia ndicho kinanifanya nashindwa kumsaidia kwa dhati mpaka leo namsaidia kwa shingo upande na ni wakati huu ambao najua kabisa ana genuine reason bali kutokana na ile kauli yake nanukuu kwa hasira "ungejua ile pesa yako ndio inamtunza huyo fulani...aka mpango wa kando" tena akaongeza msumari wa moto kwenye kidonda "hata hizi simu nazokutukana nazo ni wewe ndo ulinitumia kutoka huko uliko" imagine aahhh ngoja naona povu limenipanda ghafla.................................ngoja nitoke kwenye hii thread