Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .

1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha

2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.

3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.

4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.

5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.

6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.

7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.

8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.

9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.

10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .

OVA

LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.

Nyongeza :

Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.

OVA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namana ya mawasiliano please. Nikupate vipi?

Njoo huku umepata chaguo lako, hakika Mungu ni mwema. Wote tuseme hallelujah....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani comedy central

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa siku hizi mwanaume.ukiwa hivi utaishia segegerea.
Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .

1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha

2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.

3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.

4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.

5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.

6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.

7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.

8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.

9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.

10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .

OVA

LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.

Nyongeza :

Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.

OVA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo siyo dawa ya tatizo lako kwani Wanaume wanaopiga Wanawake pia wana matatizo ya akili kama wewe pia unayependa kupigwa.

Dawa ni wewe kujifanyia tathmini jinsi ulivyolelewa kwenu kwani ni wazi ulilelewa kwa ukatili na kwamba haukuruhusiwa kuwa mtoto mwenye furaha, ulikuwa ukipigwa na ndo maana unaona unastahili kufanyiwa ukatili.

Nakushauri ufanye therapy ambayo itakusaidia kujijua na kujitambua na hivyo kujithamini, ninaweza kukusaidia kama ukipenda!
 
Back
Top Bottom