Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

Hahah madogo mna comedy,na mkianza kupondwa mnaanza kukimbilia mahakaman mkiomba talaka

anyway ngja waje
 
Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .

1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha

2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.

3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.

4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.

5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.

6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.

7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.

8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.

9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.

10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .

OVA

LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.

Nyongeza :

Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.

OVA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zote ninazo sema sas

Mimi ni fupii nyundo
Mimi macho yangu mekundu coz natumia ndumu sio mekundu automatically

Ukorofi hapa ndo mahala pake

Vp mkuu naweza okota dodo kwenye mpapai???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo upate mziki wa kitaleban
Usipopika unalala stop
Ukijibu ovyo mikofi ya 1000
Ukiondoka bila kuaga push up na kiroba cha cement utanyooka 1week tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom