Kwa sababu mm najijua nilivyo nitakapochukua maamuzi ya kuwa na mpenzi nimefikiria akiwa hivi atanifaaa sana .
1.Mkorofi nikikosea anipe kipondo hasaa maana naogopa kupigwa nahisi itakuwa njia rahisi ya kunibadilisha
2.Nikikosea asiniseme yani yeye anipe kipondo tu.
3.Awe na tabia ya kula laini zangu ikiwezekana hata simu ya smart4n aivunje na kuipiga marufuku.
4.Awe na wivu uliopitiliza yani awe na GUBU.
5.Adukue mawasiliano ya simu yangu.
6.Achukue nywila zangu za kuanzia Jf,IG na Fb.
7.Awe na macho mekundu itapendeza zaidi.
8.Asiwe romantic yan anipeleke kijeshi jeshi akiwa mlokole nitamuonea sana.
9.Anizalishe watoto Jumamosi na Jumapili.
10.AKiwa mrefu itapendeza zaidi .
OVA
LOCATION: NJiani KUeleKEA DODoma.
Nyongeza :
Huu ni uzi wa mwisho kuandika hapa Jf mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nacomment tu.
OVA.
Sent using
Jamii Forums mobile app