Mwanamme ninayemtaka saivi lazima awe na sifa hizi!

Sio wa mwisho sema utakua unapost Kwa ID ingine .

Mwanaume WA humuhumu JF?? .

Anyway nisionge sana, Ila naamin akija, atakuja mwana riadha .

Mwanaume akili Yake, hatokaa awekeze nguvu moyo na akili, Kwa mwanamke ambaye Anajua date aliyo/alizo pitia nambaya zaidi Awe anamuona Kila siku !!!.
Never ...

Kwasababu nikwamba. atajiona km Wa chini, hadhi ya chini ,yaan moyoni hatokaa awe na Aman.

MWANAUME YUPO TAYAR, KUOA MWANAMKE ALOMKUTA NA MTOTO/WATOTO lkn hatokaa kupenda Kwa dhat mwanamke anayejua katambea na fulan nafulan nambaya zaidi Hyo fulan anaonekana machoni mwake.

Sasa basi, unione kichaa usinione kichaa, ukweli nikwamba, Bandiko lako. Litaendelea kukuletea Wapigaji nasio Mwanaume .... What the deal??????( ni we mwnywe wakuumia).

Tuliza akili, Fanya maisha , Furaha yakweli haitafutwi Kwa nguvu, yenyewe inaweza chelewa ,lkn ikija niyako weee na itadumu.

( wenzako wako humu, wameishiwa kugegedwa na kupigwa chini, maumiv wameamishia moyoni) .( hii sio salama kiafya).

Tuliza moyo, usikurupuke. ,USIRUHUSU KUTOA UDHAIFU NAKUUFANYA KUA FURSA KWA MBWA MWITU.

You are beautiful and you will always be Sexy !!!......

Things change ........mzeee WA magazeti!!!!
 
Haya baba na magazeti yako ila kwa sababu humjui the real Demiss huna ulijualo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Staki mwanaume andunje bwana napenda tallest kitu roho inapenda yani my baby akinikumbatia tu humuwaza mfululizo walah
[emoji23][emoji23]unajua hizo ni stereotype tu my dear...haha wapo wanaume wafupi wanajua sana kukumbatia freshy kbs...! ukikua utaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom