Mwanamme ukitaja heshima kwa mkeo fanya yafuatayo

Mwanamme ukitaja heshima kwa mkeo fanya yafuatayo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nipo hapa kijiwe fulani nimekaa namsubiri mgeni wangu ashuke kwenye daladala basi stori za hawa jamaa zipo hivi
Basi mmoja anawaambia wenzake hivi:
Mwanaume acha kuzubaa ukiwa mjini MKEO ATAKUWA ANAPAKULIWA HOVYO...haya fuata haya UTAONA MAPENZI yatakavyo nyooka kutoka kwa mpenzi wako...wanawake viumbe vilivyoumbwa kwa kudanganya danganywa...so do this steps wala usiongee maneno...then rudi hapa utoe ushuhuda...

1: Kama una bastola na mkeo au mpenzi wako
humwelewi...akiwa yuko home...ww chukua uwe
unaiosha osha...huku unaiandaa vizuri akiwa
anaona...usiongee sana nae...

..2.. kama huna bastola..chukua hata PANGA...noa
vizuriiii...paka mafuta huku unaicheki...huku ukipita
pita karibu yake...na weka somewhere kabatini...

..3..Basi kama huna panga...noa vizuriiii kisuu na
kiandae huku akiona na unapita pita karibu yake
USIONGEE KITU...akikusemesha ww mwambie
kilikuwa BUTU...usijibu sana...ila usicheke

....HUKU UNAIMBA KIFOO KIFOO...kifoo...kifooo ..oooh kifo hakina huruma....

...Mwanaume usiongee sana kwani ushajua message
sent....then mwonyeshe dalili kuwa ana kucheat...ila
...usimwambie...ww tulia tu...utaona mabadiliko makubwa ajabu...atanyooka...

Mwanaume acha kuzubaa mkeo atakuzunguka
Je wakuu hiyo staili ya jamaaa inafaa kweli?
 
Kumbe ndivyo walivyosema,hatari ipo sasa na wewe unalizungumziaje?
 
Unaknans mgka mada ayo mawazk yako tukagafangka kaz tukamtafjte MO wenyew
 
Wanaume wa dar bhana yote ya nn hayo
Sisi wanaume wa
mikoa hatulambi
asali huo Ni umama
tunachofanya
nikutafuna nyuki
Kama karanga
 
Siku hizi wanaume wababe kwenye Pesa sio kwenye mapanga na visu.
 
Back
Top Bottom