"Mwanamme wa dar ni nani"?

dar kiboko
ukija dar unatakiwa ubadili jina kama unaitwa Daudi ukija dar ujiite Paul
 
Mwanaume wa Dar ni mwanaume anejipenda anaejua vitu anaevutia kina dada kwa muonekano mpaka matendo.
Ni mwanaume anaeenda na wakati anayeishi maisha ya furaha na sio ya kukalili.
Mwanaume wa dar ni mwiba mchungu kwa wanaume wa shambani au mikoani sababu popote atapokuwa anakosa upinzani labda kwa wa dar mwenzie.
Anajua kuitumia fursa atumii maguvu mengi kuyafikia mafanikio anatumia Akili zaidi .
Ndio maana unaona anasakamwa mno mfano akiwa karibu na demu wako lazima demu wako ashoboke.
Pia wanawake wasio na mvuto hawawapendi wanaume wa dar sababu wanajihisi inferior mbele yao.
 
mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
Na mwanamke wa Dar?

Tunapenda kujua wakulima wanawadefine vipi watanzania.

BTW kipindi hiki cha Ramadhan hebu ongezeni juhudi kuvuna mihogo watanzania tusijekufa njaa kwa uzembe wa wakulima... au pembejeo hazitoshi?
 
Mkuu waambie hao wakulima waongeze juhudi kwenye kilimo kinachostahimili ukame. Mwakani hakutakuwa na mvua za kutosha... watanzania tumeshajua
 
mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati
Bila shaka wewe ni wakolomije
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] babu we ni wa dar
 
mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
mwnaume wa dar ni yule anakunywa maziwa nusu kikombe na andazi moja anavimbiwa hadi anatapika
mchana anakula chips kavu na pepsi mbili
usiku anakula wali nyama vijiko vitano na maji glass moja
wanaume wa dar kazi mnayo [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume wa dar n wale soft soft wapenda vigodoro na hata wanaogopa kufua mende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Bora sisi wanaume wa Mara bhita n bhita mura kyobhae
 
Yule mwenye heren maskion
Ukikaa nae huwez kuacha
Salama lazma umuache na

Vibao vi 2 vya uso maana
Maongez yake n same tu na
Ya dada ake
 
Mwanaume wa Dar ni BASHITE... Wengine tupo tuna msindikiza mwana-uume wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…