Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwanamke wa Dar?mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
Mkuu waambie hao wakulima waongeze juhudi kwenye kilimo kinachostahimili ukame. Mwakani hakutakuwa na mvua za kutosha... watanzania tumeshajuaMwanaume wa Dar ni mwanaume anejipenda anaejua vitu anaevutia kina dada kwa muonekano mpaka matendo.
Ni mwanaume anaeenda na wakati anayeishi maisha ya furaha na sio ya kukalili.
Mwanaume wa dar ni mwiba mchungu kwa wanaume wa shambani au mikoani sababu popote atapokuwa anakosa upinzani labda kwa wa dar mwenzie.
Ndio maana unaona anasakamwa mno mfano akiwa karibu na demu wako lazima demu wako ashoboke.
Pia wanawake wasio na mvuto hawawapendi wanaume wa dar sababu wanajihisi inferior mbele yao.
Bila shaka wewe ni wakolomijemwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati
Na mkulima ni yule anayeogea sabuni ya unga. Yani bila OMO kwake hajaoga badomwanaume wa dar ni yule anaeogea sabuni ya carolite
[emoji2] [emoji2] [emoji2] babu we ni wa darMwanaume wa Dar ni mwanaume anayeishi Tanzania ambaye anaonewa gere na wakulima wa mashambani. Wakulima hao kwa kuwa wana wivu wa kike kama waimba taarabu huwa hawamalizi siku bila kukosa kusema neno lolote baya kuhusu wanaume wa mjini...
Sijui nimeeleweka?
Kwa kifupi tu ni kuwa mwanaume wa kweli huwa hazungumzii mapungufu/uwezo wa mwanaume mwenzie...isipokuwa tu...kama ana hisia/homoni za kike.
Samahani kama nimekwaza watu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati
wanaume wa dar kazi mnayo [emoji23] [emoji23]mwnaume wa dar ni yule anakunywa maziwa nusu kikombe na andazi moja anavimbiwa hadi anatapika
mchana anakula chips kavu na pepsi mbili
usiku anakula wali nyama vijiko vitano na maji glass moja
Hahaha alifikiri ni sifa nzuri.Pole sana mkuu.
Pitia tread kuhusu wanaume wa dar unaona na picha.
Vipi mkuu ulikuwa unajitangaza we mwanaume wa dar??
Hahahanaona umeona haitoshi umeenza na kunitukana mkuu,