"Mwanamme wa dar ni nani"?

"Mwanamme wa dar ni nani"?

Wanaume wa dar n wale soft soft wapenda vigodoro na hata wanaogopa kufua mende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bora sisi wanaume wa Mara bhita n bhita mura kyobhae

Mura mi kweyu Kyabakari,lakini naishi dar
 
mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati
Hapo sasa kwenye picha za uchi nahisi ili ni povu, mtaje ni nani!
 
mwnaume wa dar ni yule anakunywa maziwa nusu kikombe na andazi moja anavimbiwa hadi anatapika
mchana anakula chips kavu na pepsi mbili
usiku anakula wali nyama vijiko vitano na maji glass moja
Leo umewaamlia aisee.
 
mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati

huyo aliyekuomba picha za utupu atakuwa kazoea kupiga chabo huyo.mbona hata mikoani wapo?
 
----- Mwanaume wa dar ni yule anayenunua chakula restaurant anakula kidogo kingi anabakisha kwenye sahani eti kisa yeye sharobalo....Mother f******er... Ulinunua cha nini kama huna njaa..??

1> -----Mwanaume wa dar ni yule anachojua yeye ni kudagg, kusheck, na upumbafu mwingine., Kazi za kiume mara 100 umgeuze mke hawezi katu...!!

-

2>----Mwanaume wa dar ni yule ambaye hajaondoka nyumbani kwao na ana >25 now eti kisa hana ajira...!!

-

3>----Mwanaume wa dar vyakula vyake ni bites, kachori, pizza, burger, tambi, chips na ushenzi mwingine.... Njoo mkoani uone vyakula vya wanaume., Donna, mbatata kisado, Nyama kilo, maghimbi matano per once.,, Sio ulafi ila ndo vyakula vya kiume....!!!

4>-----Mwanaume wa dar ni yule ambaye kutwa kuhangaika na thread za kula nyapu Jf hana anachowaza zaidi, Kichwa kitupu..!!

5>----Mwanaume wa dar ni yule anayetetea kila Kaoge, J. Delicious kwamba eti kila mtu ana uhuru wa kufanya anachopenda na ni haki za binadam... Ko kugawa jicho kwao ni sawa tu huko Dar...!!

6>.....Mwanaume wa dar ni yule kutwa kuhonga wanawake., Anvutia wanawake kwa pessa,, Nani kakudanganya bila pessa haji., Mbona sie tunawakamua tu na hapati chochote... Wa mikoani hatujui kitu kuhonga,.. Ni kutwanga tu na kesho anakutumia text ukambinye tena....!!

LETENI POVU NIENDELEE KUWAPAKA NNYA..!!
 
Kumbe SHAMAC we sio wa Dar [emoji2] [emoji2]
 
Hahahhh...!! Hicho cheo tu emmyta., hata mikoani wanaume wa dar wapo na hata hapa dar wamikoani wapo...!! Tabia zao ndo zinafanya waitwe wa dar...!!
Hivyo tabia hizo hata mikoani zipo.
 
Hivyo tabia hizo hata mikoani zipo.

Zipo mbona.. Hasaa wanaoiga whites life style since they are black..!! Sasa sometimes nature inawakataa kwa mazingira waliopo...!!
 
Mwanaume wa dar ni yule kidume wa ukweli.maana ukiweza ishi dar basi mikoa mingine hupati shida
 
Back
Top Bottom