Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
mwanaume wa Dar kaniuliza hivi Kwanini mwanamke ana lia muki sex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakula cake kipande kimoja ndicho chakula cha mchana.Hapendi kufanya kazi, anajipaka lotion za kike,poda, anavaa taiti wanao zijua hawataniuliza zipoje, wanakula chips tu na soseji, wanalelewa na wa mamaaa mda wote wasafi km wanafanya kazi wodi za wagonjwa wa pumu.
Nawasilisha!!!!
Mkuu huu mda ulitakiwa uwe unafukuza nyani shambani au mnataka tufe na njaa tanzania----- Mwanaume wa dar ni yule anayenunua chakula restaurant anakula kidogo kingi anabakisha kwenye sahani eti kisa yeye sharobalo....Mother f******er... Ulinunua cha nini kama huna njaa..??
1> -----Mwanaume wa dar ni yule anachojua yeye ni kudagg, kusheck, na upumbafu mwingine., Kazi za kiume mara 100 umgeuze mke hawezi katu...!!
-
2>----Mwanaume wa dar ni yule ambaye hajaondoka nyumbani kwao na ana >25 now eti kisa hana ajira...!!
-
3>----Mwanaume wa dar vyakula vyake ni bites, kachori, pizza, burger, tambi, chips na ushenzi mwingine.... Njoo mkoani uone vyakula vya wanaume., Donna, mbatata kisado, Nyama kilo, maghimbi matano per once.,, Sio ulafi ila ndo vyakula vya kiume....!!!
4>-----Mwanaume wa dar ni yule ambaye kutwa kuhangaika na thread za kula nyapu Jf hana anachowaza zaidi, Kichwa kitupu..!!
5>----Mwanaume wa dar ni yule anayetetea kila Kaoge, J. Delicious kwamba eti kila mtu ana uhuru wa kufanya anachopenda na ni haki za binadam... Ko kugawa jicho kwao ni sawa tu huko Dar...!!
6>.....Mwanaume wa dar ni yule kutwa kuhonga wanawake., Anvutia wanawake kwa pessa,, Nani kakudanganya bila pessa haji., Mbona sie tunawakamua tu na hapati chochote... Wa mikoani hatujui kitu kuhonga,.. Ni kutwanga tu na kesho anakutumia text ukambinye tena....!!
LETENI POVU NIENDELEE KUWAPAKA NNYA..!!