JF
Baada ya abduction ya Polepole. Upande wa pili, tukashangaa kiongozi wa wanamtandao ghafla kapotea kwa uso wa Tanzania, mpaka kuzushiwa kuwa kaaga.
Tukumbuke mashambulizi ya Polepole yalimlenga zaidi kiongozi mkuu.
Anajua ukweli.?
Alienda kumwona .?
Anajua alipo .?
Baada ya kuibuka, ndio tunasikia habari za African Report
Maneno yake baada ya kurudi
"Bado yupo sana, watatangulia wao, ataendelea kuhudhuria mazishi yao"
Alamsiki