Mwanamume asipomaliza

WONDERWOMAN

Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
79
Reaction score
15
Salamu wana jmvi,
Hebu nijuzeni ,kunako sita kwa sita ikatokea bwana mzee kapanda kilima kabla hajafika uhuru peak hasa kama inabidi awithdraw na akashindwa kufika kabisa akaambulia premature ejaculation ,madhara yake ni nini? msongo wa mawazo,frustration ?na mnaionaje withdrawal kama birth control method ,maana wakati mwingine inakasirisha.
 
Inategemea mnakuwa mnafanya kipindi gani saa zingine inachangia na uchovu wa kazi za ofisini, wengine unakuta ni mawazo labda katika mihangahiko yake hajafanikisha kitu fulani basi inakuwa inasumbua akili yake so hata wakati wa kufanya tendo la ndoa anaweza ashindwe kufika ile hali inayotakiwa kumridhisha mwanamke kutokana na kuwa akili yake itakuwa inawaza jambo ambalo linamsumbua so it normally happens.

Kimsingi hali imebadilika sasa hivi pia vyakula tunavyokula in one way or another pia vinachangia.
 
Withdrawal Haina neno kabisa.. Sababu mambo yakienda sivyo Waweza kwenda tu Pharmacy nunua ( morning after pills ) Depends how much you spent .. Kuna nyingine mpaka masaa 48 after SEX..Lakini naona ni vema zaidi Kutumia pills, injection, condom za kike.. Au kama condom za kawaida..Inategemea namakubaliano kati ya (mke na mume)
 

My dia msaada kidogo wa elimu. Hapo nilipo bold......hiyo siyo abortion??
 
Inasaidia nini hiyo,ka birth control naona si salama.
 
My dia msaada kidogo wa elimu. Hapo nilipo bold......hiyo siyo abortion??
Kwa kweli siamini morning after pillsni abortion.Nielewavyo mimi abortion ni pale unauhakikaAsilimia ya mia kwamba u mjamzito na Ukaitoa hiyo mimba.....Morning after pills unachukua masaa baadaYa sex.. na kwa kawaida inachukua mpakaWiki mbili kwa pregnancy test kuonyeshaU mjamzito..Naamini morning after pills sio abortion .. Ila kila mtu ana opinion zake kuhusu hili..
 


Asante my dia........ you are very kind :A S-rose:
 
wanawake wengi wamefanya abortion bila kujua, hasa baada ya kutumia vidonge vya uzazi vya majira....mwanamke anaweza kunasa ujauzito, ila akitumia hivyo vidonge in a day or two after conception, mimba inatoka unknowingly.
withdrawal, inahtaji moyo na mindset ya kutosha...unaweza ukazidiwa ukaachia mashuti nyavuni badala ya kupaisha. i'd recommend vipandikizi.
 
Kuhusu premature ejaculation, sababu ni nyingi, moja na kubwa ikiwa "mnajifanya kama abiria mnaosubiri daladala, ikifika tu mnapanda". So as to avoid this, try to spend more time in oral sex. (Au ni mali ya kuiba?). This will have 50% of satisfaction on borth of you and other 50% will be in "real sex".
Sababu nyengine ni pamoja na vyakula na aina ya maisha, unene na ukosefu wa mazoezi, ulevi, sigara, kazi nyingi, msongo wa mawazo n.k. Bahati nzuri, ni suala ambalo kwa sasa linaweza kutibika "clinically". Tafuteni ushauri wa mabingwa.
 
My dia msaada kidogo wa elimu. Hapo nilipo bold......hiyo siyo abortion??

Yes morning after pill ni abortion as tayari yai la kike na la mbegu za ya kiume zimeshaungana na kufanya uhai,
 

Afrodezi pregnancy test takes only 72 hrs to show results wether is negative or positive
 
Matumizi ya njia ya asili kuzuia mimba ni bora zaidi as apart from dini zetu kukubali hilo pia halina madhara kiafya, kinachohitajika ni ushirikiano kati ya watu wawili kuzuia mimba na si mtu mmoja, tunafundishwa kwamba unachotakiwa ni kuhakikisha yai la kike halirutubishwi ambayo tayari inakuwa ni uhai, so visikutane. I use three combinations kalenda, mucus observation all are natural birth control, condom siku nikihitaji sana na nahisi niko kwenye ovulation tatu withdrawal kwenye siku ambazo ovulation ndo inaanza or inashia reason is kijana anaweza jisahau asiwithdrawal zote!
 
as a legal postvst i dnt think kama abortion ni dhambi unles illegal
 
Sababu ni nyingi:- 1-vyakula, 2-madawa, 3-kazi nyingi na nzito ,4-mazingira/mali mpya, 5-kusafirisafiri, 6-umbile, 7-msongo wa mawazo, 8-ulabu wapombe ,9-wapenzi wengi, 10-kukosa usingizi, 11-magonjwa hasa ya zinaa, 12-unene, 13-kukosa mazoezi. 14-afya mbaya, 15-utoto, 16-kuiga, 17-kujaribu mabo mageni, 18-kutojua maana, 19-utani/umakini, 20-uzee.WITHDRAW NI NZURI NA INAUMIZA ILA UKIZOEA HAMNA TABU INAHITAJI UVUMILIVU
 
unaweza ukawithdraw kumbe vitone vilishaingia, wenzio wengi tu walishatundika watoto waliotofautiana miezi kwa umri kwakkuamini hiyo withdrawal.....kabla mwanaume hajakojoa au kuanza kusikia joto la kukojoa shahawa linakuja, huwa kuna vishahawa vinatoka na semen just during copulation....kama huamini, try withdrawal siku ya 13 na ya 14 baada ya bleed uone kama mkeo hajapata mimba wakati ananyonyesha mtoto wa miezi miwili...utatia aibu..
 
Hii njia haiaminiki sana wakuu haikawii kukuingiza mkenge..... kuna vichenji huwa vinatangulia.... hivi ni hatari sana. Pili ukirudia vichenji vinavyobaki njiani hutoka bila habari. Pia kwa kina dada nadhani huwa inakera..... raha goli lisikike nyavuni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…