Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Hapo inabidi ushirikishe wazee, uonyeshwe familia iliyotulia uende hapo, japo kwa sasa unaweza kuta kabinti kanapiga ibada ila tabia chafu ukatamani uachane nae ndani ya wiki mbili.Bado naendelea na utafutaji wangu wa mchumba wa maisha. Mwanamke mwenye nia ya kweli aje tuwasiliane kwa mawasiliano niliyoyaweka juu.