Mwanamuziki 50 Cent akaribia kufilisika

Mwanamuziki 50 Cent akaribia kufilisika

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Moja ya wasani maarufu duniani na nyota wa miondoko ya hiphop, rapa 50 Cent, aomba sheria ya kufilisika yenye kifungu cha 11 imlinde na mali zake huko Marekani.

Hoja hiyo ilikuja siku chache baada ya mahakama kuamuru rapa huyo alipe dola za Kimarekani milioni tano kwa mwanamke aliyemshitaki kwa kile alichokisema kuwa aliweka video chafu mitandanoni bila ya ridha yake.

Mwanamziki huyo mwenye jina halisi la Curtis James Jackson wa tatu, ameuza zaidi ya albamu milioni thelathini duniani kote.


Chanzo: BBC
 
Jamaa si anahisiwa kuwa na utajiri wa dollars million 250, sasa kwa hiyo kulipa dollar million 5 ndo kumfilisi...??? Labda wana sababu nyingine ya kumfilisi...
 
Soma kwanza hiyo sheria halafu urudi hapa. Jamaa bado ni tajiri na anazidi kupanda. Hiyo sheria inalinda mali na biashara zake ili zisidhurike kwenye kesi ya madai
 
Naamini taarifa imekuja bila kufanyiwa upembuzi yakinifu au imepambwa kwa makusudi ila yule bado ana safari ndefu mpaka afilisike, maana pamoja na mambo mengine ila naelewa sana harakati zake za kuukimbia umaskini.
 
Wacha walitwange faini tu maana jamaa litajiri lakini bado lina akili za kigetogeto, sijui lini litaachana na mambo ya kifala, mara nyingi nimeona anapata matatizo mitandaoni. Unajua ukishafikisha umri fulani mambo mengine inabidi kuwaachia vijana.
 
0713-50-cent-100s-vegas-club-bankrupt-getty-4.jpg


If you're wondering where the bankrupt 50 Cent keeps his money … look no further than his pockets.

We got photos of 50 hosting a party in Atlantic City last week … a few days before he filed for Chapter 11 … and it’s hard to ignore the giant wad tucked inside his (likely) expensive jeans.

Yes, that's a money sandwich of hundos he's flaunting. We're told it totaled around $5k and Fifty wanted EVERYONE to see it.

Truth is… Fifty’s gonna be just fine financially, despite owing $5 mil here and $17 mil there. Our sources tell us the recent bankruptcy filing is just a legal maneuver to reorganize his finances.

Bottom line: 50's still filthy rich.


Read more: Celebrity Gossip | Entertainment News | Celebrity News | TMZ.com
 
  • Thanks
Reactions: 911
Soma kwanza hiyo sheria halafu urudi hapa. Jamaa bado ni tajiri na anazidi kupanda. Hiyo sheria inalinda mali na biashara zake ili zisidhurike kwenye kesi ya madai

Mkuu umemaliza kila kitu. Watu wengi huwa wanadhani kuwa mtu aki-file chapter 11 basi amefilisika. Alichofanya hapo ni kuzuia yule mdada asiweze kudai ile hela aliyoshinda kwenye kesi. Nigga's still rich!
 
BBC wamekurupuka. Huyu jamaa ni juzi tuu hapo alenda Bureau ya kodi ya marekani kulalamika anatozwa kodi kidogo hivyo wamfanyie makadirio upya.
 
ndivyo wanavyoishi watasha..ukimfanyia mistake,ye anascore xo he should pay that bitch..?!
 
Aki declare bankruptcy kuna uwezekano wa kuto kulipa kama ikionekana hivyo. Sheria inaruhusu
 
Donald Trump did that, not once but four times..

Sasa niambie na Donald Trump kafilisika.. Vitu vingine kama hamjui ni bora mkae kimya tu
 
Back
Top Bottom