Mwanamuziki Christina Grimmie, amepigwa risasi na kufariki katika tamasha Orlando Marekani

Kama hujui vizuri kiingereza, usikimbilie kutoa tafsiri za uongo, we unasema muuaji kauwawa Wakati habari halisi inasema kajiua! Kama hujui acha!
Asante kwa ufafanuzi, lakini mimi ndo nmekupa mwanga wa hilo tukio, yafaa kunisifu hata kwa hilo tu sababu mimi si muingeleza. Hongera kwa kujua kimombo mkuu
 
diamond inabidi awe makini kwenye safari zake dunia imeharibika sana
 
watanzania mlioko marekani rudini hom hakufai huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…