figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #21
Asante kwa ufafanuzi, lakini mimi ndo nmekupa mwanga wa hilo tukio, yafaa kunisifu hata kwa hilo tu sababu mimi si muingeleza. Hongera kwa kujua kimombo mkuuKama hujui vizuri kiingereza, usikimbilie kutoa tafsiri za uongo, we unasema muuaji kauwawa Wakati habari halisi inasema kajiua! Kama hujui acha!