Loool kakuwekea hapo mkuu baada ya Uzi...source classic 105.com ah hujaona niniSource please
Hahahahaha we nomaEbanaa eee lipo kama mzimu mikorogo ukikutana nae kama una roho nyepesi waweza sepaa
Mbona ni kama elfu arobaini na kitu hivi.Kama shilingi laki nne (400,000) na ushee za Kitanzania!
40 Kwa hesabu zipi?Mbona ni kama elfu arobaini na kitu hivi.
Huyu si ndiye hussein macheni alim....Huyu jamaa hata hapa Tanzania yalishamtokea mambo kama hayo akaomba msaada kwa Raisi Mkapa
We ulimuona?Huyu si ndiye hussein macheni alim....
Nakumbuka io.sasa sijui n tabia yke au ni nn?Huyu jamaa hata hapa Tanzania yalishamtokea mambo kama hayo akaomba msaada kwa Raisi Mkapa
hihihiWe ulimuona?
GENERAL DEFAO MATUMONA - TIME IS MONEY - ALBUM TRAILERpole yake napenda sana nyimbo zake Famile Kikuta, Phil