Mwanamuziki General Defao ashindwa kulipa bili ya KSh 20,000

Mwanamuziki General Defao ashindwa kulipa bili ya KSh 20,000

Doh! Hadi huruma mbona kawa hivi , ni uzee ama neeeene?!
 
Si auze cheni zake mzee wa PHIL & SALANOKI, au ni cheni midosho? Hawa jamaa ni mwendo wa kupendeza tu hawakumbuki kuwekeza, hivi usikute hata nyumba hana huyu
 
Daah huyu ndiye Defao Matumona mzee wa Madova?? Kweli maisha ni ligi.
 
Astaghafillular radhim huyu mbona anafanana na mzimu huyu
 
Le General Defao stranded in Kenya
Congolese Rhumba maestro General Defao had been detained in an apartment in Nyali Mombasa , Kenya after his promoter Mr. Rashid allegedly abandoned him

Source: The Star Kenya
 
Back
Top Bottom