Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

Wema Ally

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
19
Reaction score
9
Habari zenu,

Mimi ni mfanyabiashara wa duka la nafaka na bidhaa ndogo ndogo, sasa kuna star mmoja mwanamuziki naishi nae karibu na biashara yangu, akawa anakuja kukopa everyday mpaka ikafika 80,000.

Kwa kuwa yeye ni star mimi nilimuamini kwamba atalipa sasa kazi ipo kwenye kumdai mara oooh nilisafiri ntakupa, mara oooh natafuta. Mwaka na nusu sasa umekatika.

Nikimueleza mama yake anasema anatafuta, nikamueleza muajili wangu akaniambia nimuite aongee nae, nimemuambia mara oooh nasafiri..

Sasa naombeni ushauri wenu mimi nifanye nini ili niipate hiyo pesa, au nifanye nini ili na mimi nimkomeshe hata akiniona asinisahau!
 
Ahhaha mkuuu tendaaa kama hizo zakuwaa chambaaa mastar uchwaaaraaa mpee huyuu jamaaa lemutuz ze akili kubwaaaa in town
Anawezananaoo badaaa ya sikuuu kathaaa utapataaa mpungaaa wako…
 
Last edited by a moderator:
Dada Wema Ally wee sabilia tu...... utaipata hela yako kwa njia iingine huko mbeleni, halafu usipoteze nguvu zako na wakati wako kumkomoa......!! acha maisha yako ya lenge maendeleo yako!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…