Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

Msubiri huyo star akitoka safari mwambie akulipe maana story yako inaweza kuwa ya kutunga ungetaka kusaidiwa ungetaja hata jina la duka na eneo na jina la msanii halafu kama hauna maandishi na tarehe na mida aliyokukopa basi msubiri muongeee sababu unapajua kwake.
 
mkuu kwani mond kasafiri?
 
Ebu andaa laki tatu apo tukamuonyeshe kazi sisi, mbona atafuraia shoo? We tafuta pesa mie na binamu zangu akina Dinazarde, nifah geniveros Madame B Mrembo by Nature Ms.Lincoln tutamfuata na vigodor, tena naombea asiwe mama ubaya, mbona atafuraia shoo, we usikonde binamu andaa pesa tu

Hahahaaa Binamu umetisha, mwenzio anadai 80,000 we unamwambia aandae laki 3! Au ndo yale ya kuuza ng'ombe kwa sababu ya kesi ya kuku?
 
Last edited by a moderator:
Mwambie utamtaja mtandaoni ili watu wakusaidie. Niamini, atakulipa haraka sana.
 
Hahahaaa...kazi kweli kweli kesi ya kuku kuuza ng'ombe..anadai 80,000 anatakiwa alipe laki 3 ili akaonyeshwe kazi mdaiwa:confused2:
 
Wanataka atajwe waseme Ndiooo….
Wasioafiki waseme Siyooo...

Waliosema Ndiooo wameshinda.
 
Mtoa mada mbona hueleweki? alikopa every day mpaka ikafika 80,000.Hiyo ni $ au tsh?
 
Ebu andaa laki tatu apo tukamuonyeshe kazi sisi, mbona atafuraia shoo? We tafuta pesa mie na binamu zangu akina Dinazarde, nifah geniveros Madame B Mrembo by Nature Ms.Lincoln tutamfuata na vigodor, tena naombea asiwe mama ubaya, mbona atafuraia shoo, we usikonde binamu andaa pesa tu

Haaa!
Sasa huyu elfu themanini tu analialia ivi, je iyo laki tatu si atajinyonga kabisaa.
Nasikia binamu Dinazarde ashatuzunguka kapewa elfu kumi tu atakuja kumchana huyo mtu kesho.
Atamtolea tamko eti.
 
Last edited by a moderator:
Acha kutufanya wajinga humu thread zako za kutafuta attention hatuzitaki.
 
Wewe Wema Ally kama humtaji basi basi bora uzi ufungwe tuu...
 
Last edited by a moderator:
ulivyokua ukimkopesha ulimkopesha kisa msanii kwa kuwa atakulipa au vipi? Bora Hata hajakulipa kwa kuona ujinga wako kwenye Biashara unaingiza mamb kam hyo Kisa Msanii ndo alimbikize deni lote hilo
 
Back
Top Bottom