lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Nimekuja mbona sikua hewani kwa muda soleee, lukelo sakafu anajua kama kiba anadaiwa? Ha ha ha ha
jamani mwambieni mond akalipe deni la watu.
Msubiri huyo star akitoka safari mwambie akulipe maana story yako inaweza kuwa ya kutunga ungetaka kusaidiwa ungetaja hata jina la duka na eneo na jina la msanii halafu kama hauna maandishi na tarehe na mida aliyokukopa basi msubiri muongeee sababu unapajua kwake.
Ebu andaa laki tatu apo tukamuonyeshe kazi sisi, mbona atafuraia shoo? We tafuta pesa mie na binamu zangu akina Dinazarde, nifah geniveros Madame B Mrembo by Nature Ms.Lincoln tutamfuata na vigodor, tena naombea asiwe mama ubaya, mbona atafuraia shoo, we usikonde binamu andaa pesa tu
mkuu kwani mond kasafiri?
Hahahaaa Binamu umetisha, mwenzio anadai 80,000 we unamwambia aandae laki 3! Au ndo yale ya kuuza ng'ombe kwa sababu ya kesi ya kuku?