Mwanamuziki maarufu na anayeheshimika Afrika Mwanamama Yvonne Chakachaka katika muonekano wa sasa

Anazeeka na uzuri wake, afu kumbe na mguu upo, hata kimini anaweza tupia kama wafilipino
 
Kuna binti alikuwa anaimba sana nyimbo za huyu mama. Alikuwa anavaa kanga pale kwa Patel na Dogo (4rest) Kipindi cha lunch program.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…