Mwanamuziki maarufu na anayeheshimika Afrika Mwanamama Yvonne Chakachaka katika muonekano wa sasa

Nilimpa mkono huyu mama tukasalimiana mwaka 2006 Nairobi Hana makuu very humble.
 
Ali kiba alituambia amefanya nae kazi toka mwaka Mei 2018 hadi leo disemba 2020 hatujasikia huo wimbo
 
Anazeeka na utamu wake ila bado anafaa kwa matumizi ya binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…