Mwanamuziki Matonya ashtakiwa kwa ubakaji nchini Kenya

Kenya acha iitwe kenya na wakenya wao. Nawapa kisa ambacho nilihusika mimi. Kuna dada mmoja alikubaliana na jamaa. Dada alikuwa anafanya wakala wa equity. Jamaa alivoenda kutoa pesa huyo dada akamhudumia vizur tu ikafika jamaa akamtongoza dada wa watu kwani sio kwa nyash ile. Mtoto nyash kajazia ni kama kabeba la ukoo mzima. Sasa demu kampanga jamaa kuwa ijumaa watakua pamoja jion wafanye yao. Dada si akaja kutupa mchongo mzima ati mimi nijifanye mme wake tumkamate ugoni. Cku ya cku ikafika wakaenda akatutumia location na room namba. Kikosi cha mtu 3 tukatinga kambi dada wa receiption akaimbishwa kuwa kuna tumekuja kufumania mtu akaingia kingi kwa sharti kuwa tusimpge mteja wake tukakubali akatupeleka wakafungua tukavamia kambi. Mda huo nimekusanya hasira za mwaka ati mke wangu analiwa. Demu nae kaigiza kweli kuwa nimemfumania ananiomb msamaha tena kweli huku machozi kama yote. Jamaa akawa mpole tena mwenyewe akasema ananipa 50k>1m nkagoma akafika 80k>1.6m ili tusimpigie na kumtumia mke wake video tukasepa.
 
Tatizo hawa celebrity figure wanapokuwa kwenye peak huwa wanatumika kwenye dhulma na unyonyaji dhidi ya wananchi wakati wangekuwa pamoja na wananchi,wananchi wangewatetea kwenye shida zao.Nakumbuka huyu mshenzi alishawahi kukata mauno kwenye kampeni za CCM miaka ya nyuma.wakenya fungeni hilo shenzi kifungo cha maisha ili roho zetu angalau zipoe
 
juzi kuna show ilipigwa sehemu nikiwa huko tena nairobi club kubwa sana, dj alipoweka mziki wa diamond tu yaani kauli ni moja tu iliwatoka ya "toa iyo takataka" na ikawa hivo. Chezea mkenya wewe
Cha ajabu huyo Diomond ndio anaweza jaza nyomi kwenye shoo yake nchini kenya kulimko msanii yeyote huko kenya.
 
Njia za kuua reputation yake na brand , nadhani madhara ya kutembea na low profile women ndo HAYO mkiachana atakutengenezea kesi
 
Wakenya wanachukia wasanii wa bongo kisa wasani hawasimami na wananchi, hata utakuta hilo ni dili lilisukwa. Wale watu wasikie tu.
Endelea kujidanganya, mond alikuwa kinara kuipigia debe ccm na akienda hapo Kenya anajaza watu fresh tuu
 
Ishu ya zuchu ilikuwa n wakenya walilalamika Kwann watz Ndo wanapewa kipaumbele dhidi ya wakenya, wala haikuhusiana na siasa ndo mana walianza kuimba nyimbo ya taifa la Kenya
 
Au sio
 
Endelea kujidanganya, mond alikuwa kinara kuipigia debe ccm na akienda hapo Kenya anajaza watu fresh tuu
bro fuatilia vizuri hata you tube viclips vya wasanii wa bongo kuomba misamaha wakenya ndo utaelewa nnacho kimaanisha. Na tatizo ka wabongo tuna tabia ya kupinga hata kilicho cha ukweli. Nenda namanga na mpikpk wako ukiwa na karedio kako afu uweke wimbo wa diamond kama hiyo pkpk utaipata nzima. Naongea nilichokiona wiki iliyopita nilikua huko nairobi so huwez elewa
 
Angeenda kwa wauza papuchi huko nyali 3k za kenya
 
Kwa akili zangu ndogo nahisi Dm za wasanii wa kiume kuna mbususu nyingi sana za bure, ko ni ngumu kufikia hatua hii.....
 
angetafuta malaya anunue papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…