Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Dah, yaani Kenya mpaka kwenye muziki tunatawala Afrika, hamna chochote ambacho tumeachwa nyuma, hii nchi tumebarikiwa kuwa na watu wanaojituma kwa kweli, tunatawala kiuchumi, kielimu, kijeshi n.k.

Sio mchezo! Hongera sana Khaligraph Jones.

======

Celebrated Kenyan rapper Khaligraph Jones emerged top in Africa beating all the other African rappers in his category during the just concluded Sound City MVP Awards in Nigeria.

Jones was crowned the best Hip Hop rapper on the continent beating other renowned artists such as Sarkodie from Ghana and Ricky Rick from South Africa.

Other artists who had been nominated in the category included BlaqBonez (Nigeria), Falz (Nigeria), Kwesta (South Africa), Medikal (Ghana) NyaShinski (Kenya) and Reminisce (Nigeria).

While accepting the award, Jones thanked his fans for supporting him throughout his career and reminded the attendees, in his typical fashion, that he was the best rapper in Africa.

Khaligraph Jones lies alongside the award he won in Nigeria on Saturday, January 11, 2020.

Khaligraph Jones lies alongside the award he won in Nigeria on Saturday, January 11, 2020
"I represent the 254 [Kenya] and East Africa. To some people, I know this is your first time seeing me and you are wondering who I am. I am the best rapper in Africa. The East has something to say," celebrated Jones to a beaming crowd.

Khaligraph bagged the award courtesy of his song Leave Me Alone which was released in June 2019 and has, so far, amassed up to 1.4 million views.

The awards were held at the Eko Convention Centre in Lagos, Nigeria on Saturday, January 11, 2020.

The annual event often looks to celebrate outstanding African artists that shaped the continent's music.

Throughout the event, Nigeria stood out as the country that bagged the highest number of awards as Burna Boy bagged his second successive win for African Artist of the Year.

Other winners at the awards show were Davido who was crowned Digital Artiste of the Year, Rexxie who won African Producer of the Year and Dope Nation from Ghana for Best Duo who were in the same category as Kenya's Ethic group.

Source: Kenyans.co.ke
 
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe

Mseme yeye peke yake mimi ni Mbongo na nimeanza kujua mziki wa kizazi kipya kuanzia akina Nameless, Wahu, Nonini, juakali, Jaguar, Prezo na wale wote walioipaisha Genge music tone.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Utamjuaje OG wakati uko kijijini kwenu huko ndani ndani, huyu ni bingwa wa Hip Hop asili na anawakilisha east Africa yaani katuwakilisha Africa Mashariki yote

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unadhani ukimfahamu wote wanamfahamu? Na unadhani wote wanaishi kijijini? Nawashangaa sana mnaposema mnatawala kimziki. Sijui Wakenya mtaachaga lini ujinga wa kujisifia kwa taarifa yenu wasani wanaofahamika Bongo. 1. Sauti solo 2. Bahati 3. Willy Paul hao kidogo ndio maarufu lakini takataka nyingine hatuzijui ndio maana nimekwambia huyu msanii hajulikani na hata sijui anaimba vitu gani.
 
Unadhani ukimfahamu wote wanamfahamu? Na unadhani wote wanaishi kijijini? Nawashangaa sana mnaposema mnatawala kimziki. Sijui wakenya mtaachaga lini ujinga wa kujisifia kwa taarifa yenu wasani wanaofahamika bongo. 1. Sauti solo 2. Bahati 3. Willy Paul hao kidogo ndio maarufu lakini takataka nyingine hatuzijui ndio maana nimekwambia huyu msani hajuliana na hata sijui anaimba vitu gani

Mimi Mbongo muziki wa Kenya toka akina Samba Mapangala, Lady Isa , super mazembe, rainbow singers, Mushrooms na wengine wengi nilipata kuwafahamu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe
Msani kama anaimba vyema atajuliana tu hata angekuwa nchi gani na wala haihitaji mtu awe na exposure yoyote kumfahamu msani. Msani gani unayemfahamu wewe na familia yako then unaingiza mambo ya exposure. Hajulikani hajulikani tu.
 
Mtu mpaka anapata tuzo la mwanamuziki bora Afrika halafu unasema hajulikani, wewe binafsi kama haumjui wacha kuwaburuza wenzako, wewe ndiye utakua umelala na huna exposure, jifunze kufuatilia mambo ya dunia nje ya kitongoji unachoishi.
 
wakenya kwa majigambo ..Kaligraph ni msanii mzuri ila hana jina sana kwa bongo mpaka uwe mfuatiliaji sana wa muziki ndio utamjua halafu acha kubrag na hizo tuzo za soundcity sijui ni moja ya vijituzo vidogo sana wala havina heshima kihivyo. lastly Bongo ndio baba lao katika music indutry kwa east africa. case closed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujulikana Bongo sio kigezo cha kuwa msanii bora, nyie huko huwa mumesindikwa ndani ya aina moja ya muziki, halafu pia nje ya yule Mrundi wa Kigoma anayeitwa Diamond, hakuna msanii mwingine wenu anayefahamika kimataifa, makajamba wengine wote hupigia makelele huko na wakisonga sana labda wafike Kenya.
 
Pumba ,kina nandi, Vanessa ,harmonize na rayvany Kila siku wafanya shoo za kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom