Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Show zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.
Ficha ujinga na ujuaji wa kishamba,
Hapa nimekupa wawili tu,
Embu tuletee ratiba hata ya msanii mmoja kutoka hapo kunyaland.

Alafu nyee nyee za kingereza, tunaimba kiswahili na nyimbo zetu zinaenda mbali.

Wewe mzee mbona unalihusudu sana Yai?
Btw kuna jamaa anaitwa FidQ ni rapper mmoja mzuri sana ila sijui hua anakwama wapi kunyakua tuzo kama hizi...
Kaligraph sina shaka nae mimi nakubali sana nyimbo zake!!Na kinachomsaidia hua anaboresha sana mashairi yake lakini habadili style yake ya kuchana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mnatema YAI VIZA

Kumbe kuna mahiphop head humu. Alipotelea wapi Fid Q? Itakuwa ukichaa kuanza kufananisha style ya Khaligraph na ya waimbaji wa bongo fleva. Nakumbuka jamaa flani hivi kutoka Tz, walikuwa wanaitwa Nako 2 Nako. Walikuwa wanachomoa vitu hardcore kweli kweli, my kind of music. Hadi walitoa collabo na wakali wao enzi hizo, Ukoo Flani kutoka Kenya.
 
Hii ni Diss track to BlaqBonez baada ya kusema Khaligraph didn't deserve the award!
Khaligraph killed the Nigerian rapper's whole career!!
 
Kumbe kuna mahiphop head humu. Alipotelea wapi Fid Q? Itakuwa ukichaa kuanza kufananisha style ya Khaligraph na ya waimbaji wa bongo fleva. Nakumbuka jamaa flani hivi kutoka Tz, walikuwa wanaitwa Nako 2 Nako. Walikuwa wanachomoa vitu hardcore kweli kweli, my kind of music. Hadi walitoa collabo na wakali wao enzi hizo, Ukoo Flani kutoka Kenya.
Bongo nakubali Rostam na Roma Mkatoliki.
 
Ficha ujinga na ujuaji wa kishamba,
Hapa nimekupa wawili tu,
Embu tuletee ratiba hata ya msanii mmoja kutoka hapo kunyaland.

Alafu nyee nyee za kingereza, tunaimba kiswahili na nyimbo zetu zinaenda mbali.

Hao huko nje huenda kuwaimbia Wabongo wabeba mabox wanaoishi huko...
Diamond tu ndiye kidogo mnamtegemea, sema yeye asili yake Burundi, nyie wengine wote hamna lolote.
Japo pia juzi mumeongeza mwingine anaitwa AMber Rutty anawawakilisha vizuri kwenye video yake ya kuliwa tigo....imesambaa sana hiyo na kuwezesha muanze kujulikana kimataifa.
 
In the end its just a matter of taste..., individually you don't need an award to tell you some subjective thing is better than the other..., considering utitiri wa awards and most of them being politically oriented

But to the individual receiving the awards its helps in promotion and marketing
 
Wewe mzee mbona unalihusudu sana Yai?
Btw kuna jamaa anaitwa FidQ ni rapper mmoja mzuri sana ila sijui hua anakwama wapi kunyakua tuzo kama hizi...
Kaligraph sina shaka nae mimi nakubali sana nyimbo zake!!Na kinachomsaidia hua anaboresha sana mashairi yake lakini habadili style yake ya kuchana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro... Hapa nipo kwenye Skype nafanya conference kadhaa na wadau mbali mbali, Uchina na Hong-Kong, yai linanisaidia sana kwenye kukusanya kipato cha kila siku, ningejiacha nigande, hata mimi ningechelewa.
 
Hao huko nje huenda kuwaimbia Wabongo wabeba mabox wanaoishi huko...
Diamond tu ndiye kidogo mnamtegemea, sema yeye asili yake Burundi, nyie wengine wote hamna lolote.
Eti mrundi na wabeba mabox 😂😂😂 enyewe wivu ni kitu kibaya,
Hapa tena nimekupa baadhi tu.

Back
Top Bottom