Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

CNN names top 10 Africa's biggest music stars, only 1 East African star on the list ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Pamoja na kizungu chote unachokinyenyekea kana kwamba wengine hawakifahamu,
Alafu media ya kenya imeandika only East Africa star wakati Ingekuwa ni mkenya wala EA isingeandikwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Third, appears WCB President Diamond Platnumz. Platnumz happens to be the only African star who has won two MTV Europe Music Award for Best Africa, Middle East and India Act.
 

Endelea kuhate, Watz wanamkubali tu.
Truth must be told. Khali ni mkali lakini bado anastruggle sana kupenya soko la Tz, kafanya collabo na wasanii wengi wa Tz lakini impact ni tofauti na investment. Nyashiski ni mjinga mmoja ila alikuwa na uwezo wa kuiteka bongo kirahisi sana, tatizo EGO
 
Kujulikana Bongo sio kigezo cha kuwa msanii bora, nyie huko huwa mumesindikwa ndani ya aina moja ya muziki, halafu pia nje ya yule Mrundi wa Kigoma anayeitwa Diamond, hakuna msanii mwingine wenu anayefahamika kimataifa, makajamba wengine wote hupigia makelele huko na wakisonga sana labda wafike Kenya.
Aisee mrundi tena , fitna za bongo hujambo.
 
Big up Khaligraph. Siwakubali wakenya ila huyu mwamba hamna size yake kwa rap hapa East Africa. Hana ngoma aliyozingua hata moja
 
Namkubali huyu jamaa ila kiukweli Kaligraph hafiki hata robo kwa unju bin unuki
 
Msani kama anaimba vyema atajuliana tu hata angekuwa nchi gani na wala haihitaji mtu awe na exposure yoyote kumfahamu msani. Msani gani unayemfahamu wewe na familia yako then unaingiza mambo ya exposure. Hajulikani hajulikani tu.
Hapana mkuu huyo jamaa ni popular sana kwenye hip hop zile ngumu. Sema hip hop ngumu haipendwi na wadau wengi na ndio maana unaona kama hawajulikani

Ila kiuwezo hamfikii niki mbishi hata kwa dawa
 
Kwasababu hakazi sana kama mbishi and i bet katika nyimbo zake unayoipenda sana itakua ile "noma mwanangu"
Namkubali pia Chindo Man, TDX, nilikua namkubali Geez so ukisema namkubali kwa kuwa hakazi nadhani unaingia kwenye list ile ile ya watu wanaohisi wanawajua watu wasio wafahamu
 
Namkubali pia Chindo Man, TDX, nilikua namkubali Geez so ukisema namkubali kwa kuwa hakazi nadhani unaingia kwenye list ile ile ya watu wanaohisi wanawajua watu wasio wafahamu

Sina haja ya kuhangaika kumjua mtu wakati hata mimi siwezi kujijua bila msaada wa kioo

Kivyovyote vile kalighraph kwa nikki mbishi bado ni underdog

It's Scars
 
Kusema kweli hao waliompa tuzo wanaupendeleo wangempa hata Wahu.
Maana hata mimi pia simjui sema labda upepo tu umempitia.
Mtu mpaka anapata tuzo la mwanamuziki bora Afrika halafu unasema hajulikani, wewe binafsi kama haumjui wacha kuwaburuza wenzako, wewe ndiye utakua umelala na huna exposure, jifunze kufuatilia mambo ya dunia nje ya kitongoji unachoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K jones
Namkubali
Ngori
Khali cartel
Refix Ya ojuelegba inaniinspire sana

Nataka iyo doh
anafreestyle kwenye beat yeyote
Guy ni best rapper sema Hip hop Ea kama Watu wengi hawaielewi
Angekuwa Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Au Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Sarkodie Asingemfikia
Kwangu ndo Best rapper
 
Back
Top Bottom