Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
😂😂😂 Wewe husikilizi hip hop so huwezi mfaham OgUnadhani ukimfahamu wote wanamfahamu? Na unadhani wote wanaishi kijijini? Nawashangaa sana mnaposema mnatawala kimziki. Sijui Wakenya mtaachaga lini ujinga wa kujisifia kwa taarifa yenu wasani wanaofahamika Bongo. 1. Sauti solo 2. Bahati 3. Willy Paul hao kidogo ndio maarufu lakini takataka nyingine hatuzijui ndio maana nimekwambia huyu msanii hajulikani na hata sijui anaimba vitu gani.
So kasikilize taarab huko 😂😂😂