Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Show zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.
LOL kusoma college 🎓 ndio kusoma kabisa Kenya?

Shule zote kuanzia primary mpaka a level kasomea Tanzania, mimi Mars kasomea Shule Vanessa aliosoma na anaongea English huenda kumpita hata Vanessa

Of course they used to be our next-door neighbours so you can't tell me nothing about them
 
huyu ndio Roma?
Alafu kuna Stamina? Nieleweshe 😂

LOL huyo stamina me mwenyewe sizijui sana ngoma zake na ni mbongo lakini recently his new song was trending on Kenyas YouTube for about 2 weeks (top 5 & 10 trends)
 
Jamaa anajitahid saana ilo sipingi... Ila kwenye tasnia ya muziki in general kenya hakuna kitu kabisa.

Hata uyo khali mwenyewe alithibitisha alivyokuwa huku TZ.

Ukiacha.
Octopizo.
King kaka.
Khali.

Ni nani mwingine kwa hip hop yuko gud
Utaskia mruya wa busia, mara prezoo...
Sijuh pinyee, dj magix na wale wala kaya wengine wanaimbaga mbovu saana dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu ndio Roma?
Alafu kuna Stamina? Nieleweshe 😂
lol and still trending even now

I thought wasafi are the only people rocking Kenya, kumbe mpaka wakina Stamina lol
20200116_063106png.png
20200116_063149png.png
 
Msani kama anaimba vyema atajuliana tu hata angekuwa nchi gani na wala haihitaji mtu awe na exposure yoyote kumfahamu msani. Msani gani unayemfahamu wewe na familia yako then unaingiza mambo ya exposure. Hajulikani hajulikani tu.

Huyo ana mtindio wa ubongo mkuu,mpuuze tu,ana tanzaphobia huyo
 
LOL kusoma college 🎓 ndio kusoma kabisa Kenya?

Shule zote kuanzia primary mpaka a level kasomea Tanzania, mimi Mars kasomea Shule Vanessa aliosoma na anaongea English huenda kumpita hata Vanessa

Of course they used to be our next-door neighbours so you can't tell me nothing about them
Mliishi nao sehemu gani ya Dsm? Usipojibu, itakuwa dhahiri kuwa unadanganya.
 
Unadhani ukimfahamu wote wanamfahamu? Na unadhani wote wanaishi kijijini? Nawashangaa sana mnaposema mnatawala kimziki. Sijui Wakenya mtaachaga lini ujinga wa kujisifia kwa taarifa yenu wasani wanaofahamika Bongo. 1. Sauti solo 2. Bahati 3. Willy Paul hao kidogo ndio maarufu lakini takataka nyingine hatuzijui ndio maana nimekwambia huyu msanii hajulikani na hata sijui anaimba vitu gani.
Yani unaachaje kunijua Papa Jones kwa mfano?
 
wakenya kwa majigambo ..Kaligraph ni msanii mzuri ila hana jina sana kwa bongo mpaka uwe mfuatiliaji sana wa muziki ndio utamjua halafu acha kubrag na hizo tuzo za soundcity sijui ni moja ya vijituzo vidogo sana wala havina heshima kihivyo. lastly Bongo ndio baba lao katika music indutry kwa east africa. case closed

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hunijui kabisa?
 
Back
Top Bottom