Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

K jones
Namkubali
Ngori
Khali cartel
Refix Ya ojuelegba inaniinspire sana

Nataka iyo doh
anafreestyle kwenye beat yeyote
Guy ni best rapper sema Hip hop Ea kama Watu wengi hawaielewi
Angekuwa Nigeria 🇳🇬 Au Ghana 🇬🇭 Sarkodie Asingemfikia
Kwangu ndo Best rapper
Thank you buddy
 
😂😂😂😂😂😂 Mazee nashukuruni kwa support yenyu.
OG papa Jones
 
Mtu mpaka anapata tuzo la mwanamuziki bora Afrika halafu unasema hajulikani, wewe binafsi kama haumjui wacha kuwaburuza wenzako, wewe ndiye utakua umelala na huna exposure, jifunze kufuatilia mambo ya dunia nje ya kitongoji unachoishi.
Kwani akina Rihana, Jay z wapo kitongoji gani Tanzania mbona wanajulikana usiforce tuwajue wasani wa vitongoji vyenu
 
Hapana mkuu huyo jamaa ni popular sana kwenye hip hop zile ngumu. Sema hip hop ngumu haipendwi na wadau wengi na ndio maana unaona kama hawajulikani

Ila kiuwezo hamfikii niki mbishi hata kwa dawa
Umeongea point kubwa sana
 
Hapana mkuu huyo jamaa ni popular sana kwenye hip hop zile ngumu. Sema hip hop ngumu haipendwi na wadau wengi na ndio maana unaona kama hawajulikani

Ila kiuwezo hamfikii niki mbishi hata kwa dawa
What are you talking men, yani Niki hamfikii Khali hata theluthi
 
Factor ya lugha ni kubwa sana...lakn lyrically jamaa akasome kwa nikki
Hahaha itaje ngoma yoyote kalii ya Unju unayoikubali kisha nikutajie ngoma ya papa Jones moja ulinganishe kuanzia mashairi hafi melody na flow style
 
Back
Top Bottom