Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mnatawala kimuziki wakati kazi yenu kuokoteza wasanii wetu na kuwapa show?
Wengine walishapoteana kwenye game kwenu mnaona wanafaa?
Katuzo hako tu ndio kanawababaisha?
Tukiwaambia vijana wetu wa wasafi waweke mezani tuzo zao si mtazimia?

Kinchi kilichojaa ukabila kinaweza kumtawala nani?

Huwa mnajiona mna akili kumbe bure tu ndio maana ni masikini wa kutupwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Khaligraph yupo vizuri sana kuanzia style ya kuchana, lyrics hadi anavyovaa ni jamaa mmoja makini sana kuna lile jimbo lake anasema "presenter anaringa na passo utadhani amenunua Rav 4"
Safi sana mkuu.
Ukimwona mwenzako, mwelezee pia.
 
Dah mwanangu hii mistari mikali sana,, ushaenda studio??
Una kazi zako tuzicheki??
 
Inamaana huyo jamaa amefanikiwa kimuziki kuliko diamond?
 
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe
Mkuu umeandika kiushabiki tu, Naziz, nyota ndogo, jua kali, nonini, wyre, kalamashaka, nk mbona tunawajua?
 
Hv nyiny mnamjia khali kweli...??
Jamaa ni level za sarkodie,nast c..mnataka kumlimganisha na rappers wetu Wa kinondon?
TZ HAMNA RAPPER ANAEWEZA KUSIMAMA NA KHALI IN ANY WAY..
aisee nimecheka kweli. eti Wakazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utamjuaje OG wakati uko kijijini kwenu huko ndani ndani, huyu ni bingwa wa Hip Hop asili na anawakilisha East Africa yaani katuwakilisha Africa Mashariki yote.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Anawakilisha wakikuyu wenzake
 
Mmebarikiwa mpaka mashoga mnao wengi kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…