George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Chief.We ndio unaona kama hakiendani
Kwani kutamba kunaangaliwa kwa kigezo cha tuzo?
Mziki ulikua kipaji leo unatia hasira, umekua kazi unafanywa na waliokosa ajira/
Nakupa kidogo kilichokosa amira, kigezo kwenye uwezo sio mchezo ni hira/
It's Scars
Uko sawa kwa kichwa kweli?