Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

We ndio unaona kama hakiendani

Kwani kutamba kunaangaliwa kwa kigezo cha tuzo?

Mziki ulikua kipaji leo unatia hasira, umekua kazi unafanywa na waliokosa ajira/

Nakupa kidogo kilichokosa amira, kigezo kwenye uwezo sio mchezo ni hira/

It's Scars
Chief.
Uko sawa kwa kichwa kweli?
 
Kwel kabisa huyu jamaa khaligraph jones ni mtu mwingine noma sana mim nahis hata akishindanishwa na mabingwa wengine wa kurap nje ya afrika bado atawazid mziki anao ufanya jamaa huyu ni mkubwa sana lakin hapo hapo Kenya kuna rapper anaitwa KATAPILA nae ana rapp kinoma yan Kenya kwakwel kwenye mziki wa kurap wanatuzidi Tanzania {Mim ni mmoja wa mashabiki wakubwa wa OG "BRIAN ROBERT OUKO" his real name}

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brain yako haifanyi kazi vyema.
Hii ni brain heart

M' culture naku reflect tanzania, mlio jela au mlio brek mkizamia/

Sicheki cheki hata ukitania, man hii record heavy ona haubebi hata kwa scania/

Skiza tenzi motomoto, nimefunzwa sitishiki na hizo kesi ndogo ndogo/

ma mcees na verse za uongo uongo na longo longo, skiza tenzi kama gesi ya mkondo wa songo songo nyoko/



It's Scars
 
Hii ni brain heart

M' culture naku reflect tanzania, mlio jela au mlio brek mkizamia/

Sicheki cheki hata ukitania, man hii record heavy ona haubebi hata kwa scania/

Skiza tenzi motomoto, nimefunzwa sitishiki na hizo kesi ndogo ndogo/

ma mcees na verse za uongo uongo na longo longo, skiza tenzi kama gesi ya mkondo wa songo songo nyoko/



It's Scars
Hakika wewe ni mwehu!
Nini sasa hiki?
 
Nazungumzia kichwa chako kinachotumika kutathmini utimamu wako wa akili.
Sasa kama ni chini au juu,wewe mwenyewe ndio unafahamu kilipo.
Kichwa changu hichi,kichwa
Changu kishajadili/ kwamba
Nitalala na wewe na haifiki jumapili/
Nitakuwa nimeshakuacha
Ah! utanitafuta
Kwenye simu ambayo
Namba nitakuwa nishaibadili/

Utanitafuta mara mbili/
Mara tatu kisha nne
Utagundua kurudi
Sina dalili/ ngoja ngoja
Itang’ata moyo wako
Kikatili/ mja wa
Watu maumivu
Hukujiandaa kuyakabili/

Utanipamba majina ya
Kikafili/ sitasikia maana
Nitakuwa mbali nishasafiri/
Nishasahau utatunga nahau
Kukanda mwili/ na huo
Wakati haukuwahi kuutabiri/
Ila upo

It's Scars
 
Kichwa changu hichi,kichwa
Changu kishajadili/ kwamba
Nitalala na wewe na haifiki jumapili/
Nitakuwa nimeshakuacha
Ah! utanitafuta
Kwenye simu ambayo
Namba nitakuwa nishaibadili/

Utanitafuta mara mbili/
Mara tatu kisha nne
Utagundua kurudi
Sina dalili/ ngoja ngoja
Itang’ata moyo wako
Kikatili/ mja wa
Watu maumivu
Hukujiandaa kuyakabili/

Utanipamba majina ya
Kikafili/ sitasikia maana
Nitakuwa mbali nishasafiri/
Nishasahau utatunga nahau
Kukanda mwili/ na huo
Wakati haukuwahi kuutabiri/
Ila upo

It's Scars
Acha kutumia "bangi" kijana, kichwa chako "chepesi" sana.
 
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe
 
I can dig rapping, but a rapper with a ghostwriter?
What the https://jamii.app/JFUserGuide happened?
 
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe
Kali ni mkali nilimsikia kwenye wimbo alioshirikiana na kina roma mule alibust hatari, ila kusema kenya mnaongoza kwa kila kitu hadi jeshi napinga, wanajeshi wenu ni wezi wa mikate supermarket, wanapigana na al shababu watatu na bado al shababu walionekana washindi, msikilize mwanangu king kaka kwenye #wajinga nyinyi alivyoiponda kenya navy, kwenye jeshi hamuiwezi tanzania hata robo WajingaNyinyi
 
Dear sirGod ni wewe tu ndo unanijua,
Kimawazo kiakili mimi ni mtoto ninakua,
Nina uchungu wa moyo,niwewe tu wa kunichua,
Adui wangu wa kwanza,hah! Nishamuua.

Coz kuna stori dem wangu ana umeme na shoti wanamshtua,
Masela dakka zero ashaibuka geto wanamuipua,
Ninaowaamini hawana dini hawana dua,
Nikianguka wanashushua,

Mi ni kocha wa thamani sometimes nina kochi hadi meza,
Wanadai wanakimbiza mi ntawalipa wanapoteleza,
Ndomana nipo sharp kama lazor, Gillette
Napochana Jilete,
Nikuchane,nikiwa na pesa wako fasta kama jet
Nikiwa na shida kama Michael wana'escape.
Baaado. hiyo mistari haina hadhi hata ya kuwa nominated na Mpanda music awards.
.
Leta hapa Ulimi mbili, Bongo fleva n.k
 
Back
Top Bottom