Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

Kabeya Badu, eighties babies wanaweza wasimjue.

Marquis du Zaire Original loong time enzi za Chinyama Chiyaza, Kikumbi Mwanza Mpango Nguza Viking, Vumbi (jamaa anapiga gitaa mpaka chini panatoka vumbi) nafikiri na Ramadhani "Remmy" Ongala pamoja na Makassy.

May all beings attain enlighenment.

Kifoo kifooo, kifo hakina huruma - Remmy Ongala

Kaka umemsahau na Tshimanga Assosa katika kundi lao....
 
kifoo ooh kifo

Kifo hakijali umwamba wako

Kifo hakijali cheo chako

Kifo hakijali jeuri yako

Mbele ya kifo hautambi,

kifo ni kiboko yao...

R.I.P Dr Remmy...
 
Weka nyama kwenye habari yako.
Mwanamziki wa nchi gani?
Anafanya mziki wa aina gani?
Ni wa kike au wa kiume?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

nauhakika unawajuwa Diamond, Ally Kiba, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko.

Then je unawajuwa hawa Tshimanga Kalala Assosa, Issa Nundu, Mukumbule
Lulembo 'Parash', Mbuya Makonga 'Adios', Ilunga
Banza Mchafu, Dekula Kahanga 'Vumbi', Bobo
Sukari, Fredito Butamu, Mbwana Kocks, Kabea
Badu, Mutombo Lufungula Audax, Matei Joseph, Kaumba Kalemba, Mukuna Roy, Berry
Kankonde, William Maselenge, Seif Said, Nguza
Vicking, Kyanga Songa, Kasaloo Kyanga, Kiniki
Kieto?

Kama huwajui basi piga kimya.
Sio kila thread lazima uchangie au kila mtu lazima umjue.
 
Kaka umemsahau na Tshimanga Assosa katika kundi lao....

Tshimanga naye, wapo wengine wengi najaribu kuwakumbuka, miaka imeenda sasa kaka si rahisi kuwakumbuka wote.

Asante kwa kunikumbusha Tshimanga.

Marquis walikuja kutumbuiza wanafunzi wa udaktari Muhimbili (Big up Dr. Sarungi) Tshimanga akazongwa na wadada lakini akawa anasema "siwezi kuwaharibia masomo yenu". Uwanja wa netiboli kule mwisho kabla ya kufika wodi ya wazazi, weell back in the days.

Watoto wengine watakaosoma hii walikuwa hawajazaliwa hapo.

I am not even going back to the late Great Marijani and his style, from Safari Trippers to Dar International.

You would think I was up there with Balozi Maharage and the older Upanga brothers.
 
nauhakika unawajuwa Diamond, Ally Kiba, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko.

Then je unawajuwa hawa Tshimanga Kalala Assosa, Issa Nundu, Mukumbule
Lulembo 'Parash', Mbuya Makonga 'Adios', Ilunga
Banza Mchafu, Dekula Kahanga 'Vumbi', Bobo
Sukari, Fredito Butamu, Mbwana Kocks, Kabea
Badu, Mutombo Lufungula Audax, Matei Joseph, Kaumba Kalemba, Mukuna Roy, Berry
Kankonde, William Maselenge, Seif Said, Nguza
Vicking, Kyanga Songa, Kasaloo Kyanga, Kiniki
Kieto?

Kama huwajui basi piga kimya.
Sio kila thread lazima uchangie au kila mtu lazima umjue.

.....Mujosi Bayeke!! RIP
 
.....na kwa maeneo ya akina Mh Tandau (RIP), Mh. Msuya, Mh Siyovelwa na akina Mzee Swebe (RIP)
 
About Mzee Tandau I was so touched to learn the veteran passed around this weekend.

Mkuu unayaelewa maeneo hayo ya Kalenga juu kule, kuanzia kwa Mageni (R.I.P) Galinoma pale Mindu (R.I.P) kwa Mwalimu Mhumbira, ex Prime Minister Msuya, Profesa Massawe pale kwa kina Ed, kwa Mzee Kanyama Chiume (R.I.P).

Nguza used to live at Silver Oaks (Mindu) for quite some time, we would see him take his solitary evening walks/ drives as youngsters.

Ukienda leo bongo wewe ndo unaonekana mgeni, viberiti hivyooo. Nimeenda juzi Mindu niliyoiacha siyo hii. Wanataka kunitoza mortgage za NYC kurudi mtaani kwangu mwenyewe!!!

There goes the neighbourhood.
 
nauhakika unawajuwa Diamond, Ally Kiba, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko.

Then je unawajuwa hawa Tshimanga Kalala Assosa, Issa Nundu, Mukumbule
Lulembo 'Parash', Mbuya Makonga 'Adios', Ilunga
Banza Mchafu, Dekula Kahanga 'Vumbi', Bobo
Sukari, Fredito Butamu, Mbwana Kocks, Kabea
Badu, Mutombo Lufungula Audax, Matei Joseph, Kaumba Kalemba, Mukuna Roy, Berry
Kankonde, William Maselenge, Seif Said, Nguza
Vicking, Kyanga Songa, Kasaloo Kyanga, Kiniki
Kieto?

Kama huwajui basi piga kimya.
Sio kila thread lazima uchangie au kila mtu lazima umjue.

Dekula Kahanga.

That's the name I was looking for.

Kuna wimbo mmoja anapiga gitaa, muimbaji analalamika "Vuuumbi, Vuumbi" na kweli ukienda DDC Mlimani (next to what is now "Mlimani City") unamuona Vumbi anapiga gitaa mpaka vumbi linatimka. Jamaa alikuwa anasifika kwamba hata umuamshe usingizini, anaweza kukupigia gita katika sequence mpya kabisa ambayo hujawahi kuisikia katika wimbo wake wowote uliowahi kuusikia.

Hapa ndipo kti ya threads chache ambazo naweza kumkosa Le Mutuz, maana ye anaweza kukutajia majina yao wote bendi nzima.
 
nauhakika unawajuwa Diamond, Ally Kiba, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko.

Then je unawajuwa hawa Tshimanga Kalala Assosa, Issa Nundu, Mukumbule
Lulembo 'Parash', Mbuya Makonga 'Adios', Ilunga
Banza Mchafu, Dekula Kahanga 'Vumbi', Bobo
Sukari, Fredito Butamu, Mbwana Kocks, Kabea
Badu, Mutombo Lufungula Audax, Matei Joseph, Kaumba Kalemba, Mukuna Roy, Berry
Kankonde, William Maselenge, Seif Said, Nguza
Vicking, Kyanga Songa, Kasaloo Kyanga, Kiniki
Kieto?

Kama huwajui basi piga kimya.
Sio kila thread lazima uchangie au kila mtu lazima umjue.

Umesahau kidogo Jabali la muziki Rajab Marijani na wimbo "supa bomboka"
 
nauhakika unawajuwa Diamond, Ally Kiba, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko.

Then je unawajuwa hawa Tshimanga Kalala Assosa, Issa Nundu, Mukumbule
Lulembo 'Parash', Mbuya Makonga 'Adios', Ilunga
Banza Mchafu, Dekula Kahanga 'Vumbi', Bobo
Sukari, Fredito Butamu, Mbwana Kocks, Kabea
Badu, Mutombo Lufungula Audax, Matei Joseph, Kaumba Kalemba, Mukuna Roy, Berry
Kankonde, William Maselenge, Seif Said, Nguza
Vicking, Kyanga Songa, Kasaloo Kyanga, Kiniki
Kieto?

Kama huwajui basi piga kimya.
Sio kila thread lazima uchangie au kila mtu lazima umjue.

Mkuu, naikumbuka hii kikosi wakijiita convoy ya marquis. Rip Kabeya Badu.
 
CUF's Mageni - Chuck's pops?

CUF's Mageni, that debonair old man has gone to glory. Mzee alikuwa fresh sana.

It was all over the news.

http://m.dailynews.co.tz/index.php/local-news/5941-ex-top-cuf-leader-minister-buried

Wazee wa kitaa kile wametangulia wengi tu miaka michache hii, Dr. Maro, Mzee George Mbowe, Mzee Ramadhani Nyamka, Mzee Accadogga Chiledi, Rt. Colonel Gwaza Mapunda Sr (Charles Hilary akimuita "Gwiji la kimataifa").

http://matukiouk.blogspot.com/2012/01/dr-fanuel-maro-afariki-dunia.html

http://swahilitime.blogspot.com/2012/02/mzee-george-mbowe-afariki-dunia.html

http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=8432

R.I.P
 
Back
Top Bottom